muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Kukimbia au kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi.Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa.
1. Mazoezi husaidia kupunguza uzito, tembea lisaa limoja kila siku au kimbia dk 30 kwa siku
2. Ni mazoezi yanayoweza kufanywa na kila mtu
3. Ni mazoezi yasiyohitaji vifaa/hayana gharama
4. Ndiyo njia rahisi kabisa ya kuufanya mwili kuwa mkakamavu, sababu huhusisha kila kiungo cha mwili kufanya kazi
5. Hupunguza dalili za majonzi na wasiwasi, mind refreshment against stroke, pressure etc.
6. Ni mazoezi yenye matokeo ya taratibu
7. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kolesto/lehemu through burning claories
8. Hupunguza na kutibu shinikizo la damu
9. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi za kansa, example progestorene cancer
10. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari, unapokimbia hufunguo vinyweleo vya mwili na husaidi mwili kutoa jasho kwenye kila kioungo
11. Hukufanya ujisikie vizuri, muscle relaxation
12. Husaidia kuimarisha mifupa
13. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na shambulio la moyo
14. Ni mazoezi uwezayo kuyafanya bila kukusababishia ajari au maumivu makubwa
15. Hupunguza mfadhaiko/stress
16. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa moyo
17. Ni mazoezi unayoweza kuyafanya bure bila kulipia chochote
18. Husaidia kuimarisha mishipa
19. Husaidia katika mfumo wa upumuwaji
20. Husaidia kuongeza mzunguko wa damu
Kama afya yako siyo nzuri sana anza kutembea kidogo kidogo labda dakika 15 kwa siku huku ukiongeza dakika 5 kila siku hadi hapo utakapoweza kutembea lisaa limoja mfululizo bila kupumzika. Ili kupunguza uzito, unene, utipwatipwa, mafuta yaliyozidi au kitambi, fanya zoezi la kutembea kwa miguu mwendo kasi kidogo muda wa mwezi mmoja mpaka miwili mfululizo.
Je ni muda gani mzuri wa kufanya mazoezi ya kutembea?, wengi wanapenda asubuhi sana na jioni lakini mimi napenda kufanya mazoezi ya kutembea/kukimbia alfajiri asubuhi saa 12, wakati huu kwa baadhi ya sehemu hakuna watu wengi wala magari, nzuri zaidi pollution ya mazingira inakuwa kidogo. So through breathing unakuwa unaata fresh AIR. Pia hutaweza ku-lose a lot water in the body bcoa humidy is normal
Ni vizuri baada ya kutembea/kukimbia fanya mazoezi ya streching ili kunyoosha viungo vya mwili, kuna njia mabalimbali kama kurukaruka kwa kutumia kamba na zinginezo
Hope this is very helpful
Keep healthy!