Faida 6 za kuishi maisha ya ukapera

Faida 6 za kuishi maisha ya ukapera

wanasayansi na watafiti wameconclude kwamba m2 aliyeoa au kuolewa huwa mentaly anakuwa fresh hvyo kujiletea maendeleo, just imagine una bonge la house ndani kukiwa na kila kitu cha kifahari hafu piga picha kwamba umo ndani peke yako, mali zote zinakuwa nothing kwani ful time utakuwa bored. Pia hiyo ni tabia zinazolandana na UCHOYO.
 
Hivi ukapera sini kutokuoa/olewa???
Na je wanaoishi pamoja bila kuoa/olewa hawaanguki kwenye hili kundi??
Nauliza ili nijue cha kuchangia nisije nikajichanganya mwenyewe!
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.

4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika

Naomba unisamehe
Maana kila nikisoma jina lako hata kabla sijasoma ulichoandika naanza kufanya majumuisho
Hebu jiangalie hapo kwenye REDS
Mazoea hujenga tabia.
Mara zote wanao andika kwa staili hii ni wavivu na pia wanaharibu lugha.
Jaribu kubadilika

Kwenye blue naona unamhusisha Mungu kwa mara ya kwanza hapa JF
Vipi ile thread ya KUFANIKIWA KUTEMBEA NA MUME WA MTU ulimpeleka wapi Mungu???
 
hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana
1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE

hapo umenichanganya
umeonaeeeeeeh!
 
Pole sana kapela!, nyie ndo tunakuta mmejitundika kamba shingoni kwa upweke! Kama viungo vya uzazi havifanyi kazi pole sana, hakuna raha duniani kama ku-do!, na kama ni kapela unaehangaika huko na huko kutafuta mwenza basi sio kapela wa hiari, umelazimika.
acha jazba,kijana hajasema kuwa viungo vyake havifanyi kazi lol!
 
wanasayansi na watafiti wameconclude kwamba m2 aliyeoa au kuolewa huwa mentaly anakuwa fresh hvyo kujiletea maendeleo, just imagine una bonge la house ndani kukiwa na kila kitu cha kifahari hafu piga picha kwamba umo ndani peke yako, mali zote zinakuwa nothing kwani ful time utakuwa bored. Pia hiyo ni tabia zinazolandana na UCHOYO.

ur real a wiseboy!
 
Si bora ukawa Padri au buruda basi ijulikane moja kwa moja
 
Naomba unisamehe
Maana kila nikisoma jina lako hata kabla sijasoma ulichoandika naanza kufanya majumuisho
Hebu jiangalie hapo kwenye REDS
Mazoea hujenga tabia.
Mara zote wanao andika kwa staili hii ni wavivu na pia wanaharibu lugha.
Jaribu kubadilika

Kwenye blue naona unamhusisha Mungu kwa mara ya kwanza hapa JF
Vipi ile thread ya KUFANIKIWA KUTEMBEA NA MUME WA MTU ulimpeleka wapi Mungu???

hivi wewe zinakutosha kichwani kweli? Kama huna la kuchangia si uchape lapa? Et nitake kutembea na mume wa m2 kwani vijana wameisha? CPU... CPU... CPU... Niache niandike nitakavyo. i need 2 be free so stop ur s*****
 
Kweli kuna faida ya kuwa kapera maana hakuna kufumania wala kufumaniwa kila kitu ni kwenda kama unavyotaka matumiz pia yanapungua subiri nikamfukuze mke wangu nikae peke yangu ili nijenge gorofa
 
faida ya saba: unajifunza kuwa mbinafsi na pia ubahiri wa kutupwaa.
 
hivi wewe zinakutosha kichwani kweli? Kama huna la kuchangia si uchape lapa? Et nitake kutembea na mume wa m2 kwani vijana wameisha? CPU... CPU... CPU... Niache niandike nitakavyo. i need 2 be free so stop ur s*****
amekuchanganya na not enough
 
faida nyingi zaidi kuliko hasara......tumezaliwa tule raha sio karaha!
 
hivi wewe zinakutosha kichwani kweli? Kama huna la kuchangia si uchape lapa? Et nitake kutembea na mume wa m2 kwani vijana wameisha? CPU... CPU... CPU... Niache niandike nitakavyo. i need 2 be free so stop ur s*****

Mmmmmhhhh hekima kama inatoweka vileeeeee

Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Naendelea kujiuliza

Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

Naendelea kujiuliza.............

Wandugu naomba msaada. Mimi nina mchumba wangu 2ko ktk process za harusi. alishanitambulisha kwao na nikakubalika. Mimi ninaishi na mamdogo. Mamdogo ndiye aliyenilea so nikama mamangu. SO Nilimpeleka Mchumba wangu kwanza kwa mamdogo kumtambulisha kabila ya ha2a nyingine na mamdogo ndiye aliyewaambia ndugu zangu wengine. na akasema kuwa atagharamia kichen party na send off kwa kuwa mimi nikama mtoto wake. ndugu zangu karibu wote wanamjua huyo kijana.sasa cha ajabu mamdogo ameanza kunikatisha tamaa. ananiambia mbona huyo mwenzako anaoneka haja2lia? Nimzuri 2 wasura hana kingine hakufai mwanangu. Tafuta mwingine mbona wanaume wako wengi? na maneno mengine mengine kibao. Mimi nikamjibu nampenda hivyo hivyo alivyo mamdogo.baada ya kuona sielekei kumwacha akaanza kumwaga upupu kwa ndugu zangu wote kwamba yule kaka hanifai. Ndugu zangu wakaanza kumchukia huyu kijana. Cha kushangaza naona mamdogo yuko karibu sana na mchumba wangu nikimuuliza anasema wanashughulikia mambo ya ndoa ye2. Siku moja mawifi zangu (ukweni) wakaniita na kuniuliza hivi huyo ni mamdogo wako kabisa? Nikawajibu ndio. yeye na mamangu ni wa2mbo moja walishangaa na kusema mbona sasa anafanya mambo ya ajabu vile? Nikawauliza mambo gani hayo wakasema nisubiri niolewe kwanza ndo wataniambia coz wanaogopa kuuvunja uhusiano we2. (mimi na kaka yao) katika chunguza yangu nimegundua mamdogo ananichukulia mchumba wangu. Nimuachie mchumba wangu au Nifanyeje??

Jamani waheshimiwa sana asanteni NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom