COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Kushusha presha sio ndio umeiponya mkuu.NA USIDANGANYWE KUWA INAPO SHUKA TU UMEPONA HAPANA KUPONA PRESHA NI PROCESS MkuuSasa mbona haiponkwenye orodha ya kutibu presha ya kupanda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushusha presha sio ndio umeiponya mkuu.NA USIDANGANYWE KUWA INAPO SHUKA TU UMEPONA HAPANA KUPONA PRESHA NI PROCESS MkuuSasa mbona haiponkwenye orodha ya kutibu presha ya kupanda!
[emoji16][emoji16]Vipi kuhusu Nguvu za kiume?
Utafiti unaonyesha kuwa mbegu ya parachichi inakiwango cha asilimia 65 cha amino acids na pia ina kiwango kikubwa cha fiber ukilinganisha na vyakula vingine.
FAIDA ZA MBEGU YA PARACHICHI
1- Inapambana na tatizo la arthritis, sababu mbegu ya parachichi ni anti-inflammatory ( inatabia ya kupambana na vichochezi)
2- Mbegu ya parachichi inaondoa gesi tumboni na kuvimbewa, husaidia kukata kuharisha. Mbegu hii hutumika kutengeneza madawa yanayopambana na infections kwenye mwili wa binadamu na matatizo ya matumbo.
3- Utafiti pia unaonyesha inapotumiwa huongeza viwango vya collagen, hivyo hupambana na kuzeeka kwa kuifanya ngozi yako kuwa imara na isiyo na mikunjo.
4- Inaimarisha kinga ya mwili, hivyo husaidia kuzuia magonjwa yasikupate.
5- Ni effective sana katika kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini ( fat burning), na inachangia kupunguza uzito kwa haraka zaidi.
6- Ina kiwango cha juu cha nguvu ( energy) hivyo mtumiaji atakuwa kamili na ng'a ng'ari siku nzima.
7- Mbegu ya parachichi inazuia vivimbe ( tumors) sababu inakiwango cha Flayonol.
Pia mbegu ya parachichi inatoa sumu mwilini na ina tibu vidonda vya tumbo ANGALIZO: Ikiwa wewe ni allergic na mbegu za matunda ama parachichi, tafadhali wasiliana na daktari wako Kabla ya kutumia.
Dagaa zitapanda bei maradufuNi moja kati ya dawa nzuri sana ya nguvu za kiume na kuchamusha mbegu zinazokosa speed ya kufikia yai...
Niliona sehemu ikitumiwa hivi...
Kingine ni dagaa...
Ajuaye hakawii...utaona mtu mwepesi sana ila ni chapa ilale...