Faida alizonazo Simba kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly

Faida alizonazo Simba kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly

1)Simba anaongoza ligi kuu Tanzania bara
2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa
3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi
4)Al ahly hawajawahi kumpiga Simba kwa mkapa
5)Simba Yuko home ground na mchezaji wa 12
6)Page ya FIFA kuipost Simba ni heshima kubwa
7)......
Comments reserved
 
Hivi Enyimba, Wydad, Tp Mazembe, Petro luanda, Mamelod na Es Tunis mashabiki wao wamekuwa mazezeta kama wa huku Tanzania? Au ndio watanzania ushamba ni mzigo. Wakati wengine wanachukulia ni kitu cha kawaida lakini mashabiki wa Simba pekee wanaona wapo kwenye ulimwengu wa kivyao vyao. Sasa hapo hajashiriki club world cup
Acha hizo mpira una levels ukilinganisha na unaoshindana nao. Hili ni jambo kubwa kwa Simba na mpira wa Tanzania, na kinachofanyika ni kuongeza hamasa.

Kama jambo hili ni ushamba, sijui lile la medali za shirikisho na matukio yaliyofatia kuambatana na hilo tutaliitaje🤣🤣.
 
Back
Top Bottom