inahusika na nini?Yes lakini sio ya carrier and logistics mkuu.
Sorry wanahita courier services ,mtaji million 100 inatosha kabisa.Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki.
Je nataka kujua faida na changamoto ya hii biashara na kiasi gani cha kuanzia kama msingi(capital).
Naomba ushauri wenu kutoka kwa wana taaluma au mwenye uelewa wa hii biashara.
Mkuu nje ya mada kidogo.Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki.
Je nataka kujua faida na changamoto ya hii biashara na kiasi gani cha kuanzia kama msingi(capital).
Naomba ushauri wenu kutoka kwa wana taaluma au mwenye uelewa wa hii biashara.