Faida na changamoto za Biashara ya carrier and logistics ni zipi?

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
14,244
Reaction score
10,073
Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki.

Je nataka kujua faida na changamoto ya hii biashara na kiasi gani cha kuanzia kama msingi(capital).

Naomba ushauri wenu kutoka kwa wana taaluma au mwenye uelewa wa hii biashara.
 
Nina duka la jumla na lodge so natumia kwa kampuni mkuu
 
Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki.

Je nataka kujua faida na changamoto ya hii biashara na kiasi gani cha kuanzia kama msingi(capital).

Naomba ushauri wenu kutoka kwa wana taaluma au mwenye uelewa wa hii biashara.
Sorry wanahita courier services ,mtaji million 100 inatosha kabisa.
 
Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki.

Je nataka kujua faida na changamoto ya hii biashara na kiasi gani cha kuanzia kama msingi(capital).

Naomba ushauri wenu kutoka kwa wana taaluma au mwenye uelewa wa hii biashara.
Mkuu nje ya mada kidogo.

Bidhaa zako za duka la jumla unanunua wapi na vipi huko mnakonunua wanawapangia bei ya kuuza au mnapanga wenyewe. Lastly kalamu za Nataraj mnanunuaje kwa bei ya jumla ?
 
misasa jibu hili swali
 
Back
Top Bottom