Faida na hasara nilizopata katika betting

mechi ngumu kama hiyo ya Madrid usibet kabisa,,,hata ya leo Bayern ni ngumu..haya makampuni ya kibongo ya kubeti sijui mkeka,,meridian ni wezi jiungeni na bet365
Mkuu hiyo bet365 unajiungaje,msaada tafadhali.
 


nikekupata mkuu ila mm nikiweka tatu naliwa sijiu kwa nn ila najua ipo cku.
 
hapana hiyo si biashara ni kamari
hapana hiyo si biashara ni kamari
poa mkuu kila mtu ana mtizamo wake ila me naona ina profit ndo maana hata kama umechek kuna bet site nyingi sana tz mf primier, mkeka, meridian, m-bet ni baadhi ndo maana nakuambia watu wameona inafaida wakawekeza huku. we kama unaona ni kamari its okay. but kamari nayo ni bisness kwa mwenye uhitaji.
 
We utakuwa muongo, nakumbuka Mara ya mwisho mtu kushinda pesa nyingi alikuwa jamaa wa Kule morombo arusha alipiga million 4

 
Hicho ndicho kitu kinacho niumiza mimi, kila siku naweka timu kumi au nane baadaye unakuta timu moja imeniharibia
 
We utakuwa muongo, nakumbuka Mara ya mwisho mtu kushinda pesa nyingi alikuwa jamaa wa Kule morombo arusha alipiga million 4
Wewe ndo muongo watu wengi tu wamekula pesa ndefu... Mfano jamaa wa kyela mwezi 12 amekula 43milion we unabisha nini? Kama hujui kaa kimya tu
 
hongera david me bado mambo hayajakaa poa nina mda mrefu sana bila mafanikio ila naamini iko siku Mwenyezi Mungu atanifungulia neema zake. kwma na wewe ulisuasua basi naamin iko siku tuu.
Wewe na wenzio wengi ndio mmemchangia David Harvey na Madee na wengine wachache waliofaidika na Betting wengi mmeambulia hasara. Mwenye kampuni ya kubbet yeye mara nyingi hapati hasara ni kuvuna tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…