laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
onlineHiyo bet 365 unabett kwa njia ipi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
onlineHiyo bet 365 unabett kwa njia ipi mkuu?
mechi ngumu kama hiyo ya Madrid usibet kabisa,,,hata ya leo Bayern ni ngumu..haya makampuni ya kibongo ya kubeti sijui mkeka,,meridian ni wezi jiungeni na bet365Madrid amechana mikeka mingi
hata ujasiriamali nao ni kama Kamari kuna kupata hasaraMimi na kamali za aina zote, mbali mbali!
Mkuu hiyo bet365 unajiungaje,msaada tafadhali.mechi ngumu kama hiyo ya Madrid usibet kabisa,,,hata ya leo Bayern ni ngumu..haya makampuni ya kibongo ya kubeti sijui mkeka,,meridian ni wezi jiungeni na bet365
mhhh mpwa unanipa.hamasami nimenunua hiace kwa pesa ya kubeti na nimefungua supermarket ndani ya mwaka mmoja tu..thanks bet365
usijali mkuu ipo siku utashinda tu,lakini watu wanashindwa kanuni za kubet utakuta mtu anaweka mkeka una timu 8 mpka 9 Hapo ni vigumu kushinda.
unachagua timu 3 au 4 za uhakika mfano madrid,barcelona,juventus na psg unaweka mzigo wa laki 7 possible win inakuja mil 3,unachukua pesa kiulaini tu.
lakini utakuta mtu anaweka timu 8 halafu analipia buku anataka kushinda mil 8 hapo kushinda ni bahati,hauwez kushinda mil 8 kwa sh 1000
hii nayo ni biashara ndo maana watu wamewekeza huku.mungu yupi unaesubiri akufungulie neema kwa kucheza kamari wakati yeye kaikataza? fanya kazi kijana acha uvivi na kusubiri vya bure
hapana hiyo si biashara ni kamarihii nayo ni biashara ndo maana watu wamewekeza huku.
hapana hiyo si biashara ni kamari
poa mkuu kila mtu ana mtizamo wake ila me naona ina profit ndo maana hata kama umechek kuna bet site nyingi sana tz mf primier, mkeka, meridian, m-bet ni baadhi ndo maana nakuambia watu wameona inafaida wakawekeza huku. we kama unaona ni kamari its okay. but kamari nayo ni bisness kwa mwenye uhitaji.hapana hiyo si biashara ni kamari
Nifundishe namna ya kujiunga na hiyo bet365mechi ngumu kama hiyo ya Madrid usibet kabisa,,,hata ya leo Bayern ni ngumu..haya makampuni ya kibongo ya kubeti sijui mkeka,,meridian ni wezi jiungeni na bet365
Habari za jioni?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza faida na hasara nilizopata katika betting,nilianza kubet mwaka 2010 Tangu nianze kubet mpka sasa nimepata faida ya mil23.
Siku ya kwanza kubet nilibahatika kushinda mil 12 nikanunua shamba Mlandizi na nikafungua pharmacy home K/njaro.
Baada ya hapo ikapita miaka 2 sikuweza kushinda ata sh mia hasara niliyopata ni mil 2.
Mwaka 2013 nilianza na nyota nikashinda mil 7 nikawanunulia wazee kijiji vifaa vya shambani plau na jenereta ya umwagiliaji pamoja maksai.
2014 nilikuwa nashinda pesa za kawaida tu kama laki 1,2 na pesa za mboga tu.
Mwaka2015 nilipata mil 6 nimenunua shamba heka 2 tanga Lushoto na pikipiki moja aina ya boxer.
Mwaka huu 2016 nashinda pesa za kawaida tu.
Hasara nilizopata ni mil 3 tu.
Leo nimeweka mkeka wa laki 2, madrid win na hull city win.
hiyo milioni 4 kuna mtu anaingiza kila wikiWe utakuwa muongo, nakumbuka Mara ya mwisho mtu kushinda pesa nyingi alikuwa jamaa wa Kule morombo arusha alipiga million 4
hiyo huiwezi ni kwa matajiri tu kujiunga lazima uanze kudeposit 200$ na hawatumii tsh ni dola au euro.....we jiunge hizi za bongo ubet jero jeroNifundishe namna ya kujiunga na hiyo bet365
[emoji24] [emoji24] [emoji115] [emoji115]hiyo huiwezi ni kwa matajiri tu kujiunga lazima uanze kudeposit 200$ na hawatumii tsh ni dola au euro.....we jiunge hizi za bongo ubet jero jero
Hicho ndicho kitu kinacho niumiza mimi, kila siku naweka timu kumi au nane baadaye unakuta timu moja imeniharibiausijali mkuu ipo siku utashinda tu,lakini watu wanashindwa kanuni za kubet utakuta mtu anaweka mkeka una timu 8 mpka 9 Hapo ni vigumu kushinda.
unachagua timu 3 au 4 za uhakika mfano madrid,barcelona,juventus na psg unaweka mzigo wa laki 7 possible win inakuja mil 3,unachukua pesa kiulaini tu.
lakini utakuta mtu anaweka timu 8 halafu analipia buku anataka kushinda mil 8 hapo kushinda ni bahati,hauwez kushinda mil 8 kwa sh 1000
Wewe ndo muongo watu wengi tu wamekula pesa ndefu... Mfano jamaa wa kyela mwezi 12 amekula 43milion we unabisha nini? Kama hujui kaa kimya tuWe utakuwa muongo, nakumbuka Mara ya mwisho mtu kushinda pesa nyingi alikuwa jamaa wa Kule morombo arusha alipiga million 4
Wewe na wenzio wengi ndio mmemchangia David Harvey na Madee na wengine wachache waliofaidika na Betting wengi mmeambulia hasara. Mwenye kampuni ya kubbet yeye mara nyingi hapati hasara ni kuvuna tu.hongera david me bado mambo hayajakaa poa nina mda mrefu sana bila mafanikio ila naamini iko siku Mwenyezi Mungu atanifungulia neema zake. kwma na wewe ulisuasua basi naamin iko siku tuu.