Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof

Anayagawa mara 3
 
Concrete gutter huwa haiwezi kuziba mkuu?
Msingi wa hoja yangu kuhusu kufanya maintenance ya gutter ni endapo kama ndege au mijusi imepeleka takataka zinazoweza kuziba hiyo gutter
Mkuu ukiweka wavu/kichujio haiwezi kusaidia? Unakuwa unasafisha kwenye wavu/chujio regularly.
 
Pamoja na hoja iliyo mbele yetu, ninapendekeza pia wataalamu watuongoze kwenye matumizi ya interlocking bricks na mega panel construction system link www.mega.co.tz
 
Uko sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…