Faida nilizozipata sabasaba kama mjasiriamali mdogo

Faida nilizozipata sabasaba kama mjasiriamali mdogo

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
258
Reaction score
110
1.nimejiunga nssf kwa hiari 2.kupata elimu ya mashine mbalimbali kama ya kukoboa na kusaga, vitu kama lora 1,2 na 3 havinisumbui tena. Kuhusu size ya kinu kama 75,100 na 200 pamoja na bei zake na ipi ni nzuri kwa biashara. 2.animal feed milling machine, animal feed milling mixer machine na animal feed pellet machine, zipo za aina mbalimbali na ukubwa tofauti na bei zake na uwezo wa kazi. 3.solar power na incubator. Kama upo dar na mjasiriamali nenda sabasabå
 
This is a nice thread. Kesho ngoja niende japo sikuwa na mpango kabisaa
 
Hivi kwanini. Tantrade wameweka viingilio pale mlangoni
 
1.nimejiunga nssf kwa hiari 2.kupata elimu ya mashine mbalimbali kama ya kukoboa na kusaga, vitu kama lora 1,2 na 3 havinisumbui tena. Kuhusu size ya kinu kama 75,100 na 200 pamoja na bei zake na ipi ni nzuri kwa biashara. 2.animal feed milling machine, animal feed milling mixer machine na animal feed pellet machine, zipo za aina mbalimbali na ukubwa tofauti na bei zake na uwezo wa kazi. 3.solar power na incubator. Kama upo dar na mjasiriamali nenda sabasabå

Nssf umepotea mkuu.Mfuko ni PSPF au LAPF.
 
mil 17. Wanatengeneza kwa oda.

Kwani izo wanazotengeneza kwa oder zina uwezo wa kumill how many kg/ tonnes kwa saa maana naona kama 17 m ni nyingi nikicompare na zile nazoziona kwenye ebay na alibaba kwa matumizi ya mjasiliamali wa kawaida. Za kuanzia dollar 1500 - 3000 kama izo hapo kwenye picha. ImageUploadedByJamiiForums1404678790.717391.jpg
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1404678766.420598.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1404678766.420598.jpg
    15.8 KB · Views: 201
Nssf umepotea mkuu.Mfuko ni PSPF au LAPF.

Acheni kudanganya watu,mfuko wa hiari mnaufahamu?
Mfuko wa hiari ni tofauti na huo wa wafanyakazi,ni mahsusi kwa wafanyabiashara na wajasiriamali.Benefit zake ni tofauti na mifuko ambayo mwajiri nayo anachangia
 
Back
Top Bottom