mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
ahsante mkuu! kesho watakuwepo?
kesho ndio kilele lakini wapo mpaka tarehe 9.
1.nimejiunga nssf kwa hiari 2.kupata elimu ya mashine mbalimbali kama ya kukoboa na kusaga, vitu kama lora 1,2 na 3 havinisumbui tena. Kuhusu size ya kinu kama 75,100 na 200 pamoja na bei zake na ipi ni nzuri kwa biashara. 2.animal feed milling machine, animal feed milling mixer machine na animal feed pellet machine, zipo za aina mbalimbali na ukubwa tofauti na bei zake na uwezo wa kazi. 3.solar power na incubator. Kama upo dar na mjasiriamali nenda sabasabå
Nssf umepotea mkuu.Mfuko ni PSPF au LAPF.
Mkuu hizo pellet machine wanauza shilingi ngapi?
Kwani izo wanazotengeneza kwa oder zina uwezo wa kumill how many kg/ tonnes kwa saa maana naona kama 17 m ni nyingi nikicompare na zile nazoziona kwenye ebay na alibaba kwa matumizi ya mjasiliamali wa kawaida. Za kuanzia dollar 1500 - 3000 kama izo hapo kwenye picha.View attachment 169336
tani 1.5 kwa saa 1(1.5t/hr).
Hio machine juu ni ya nn plse sijaelewa
mil 17. Wanatengeneza kwa oda.
Nssf umepotea mkuu.Mfuko ni PSPF au LAPF.
Nssf umepotea mkuu.Mfuko ni PSPF au LAPF.