Kimbakuli JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 408 Reaction score 435 Nov 18, 2014 #1 Habari zenu wakuu! Sorry naombeni mnifahamishe kuhusu hii biashara ya fedha za mitandao, mfanyabiashara anapataje faida. Thanks
Habari zenu wakuu! Sorry naombeni mnifahamishe kuhusu hii biashara ya fedha za mitandao, mfanyabiashara anapataje faida. Thanks
S sofina Member Joined Aug 29, 2014 Posts 85 Reaction score 15 Nov 20, 2014 #2 Faida inategemea na mzunguko wa pesa,ila ki ujumla hii biashara faid yake ndogo sana