Ndio maana nakuambia ninao wanaume kibao wa sampuli yako nawalisha hapa mjini. Hata ww kwa kiherehere chako, sioni nakukosa vipi.
Mi nilidhani NCCR inajipanga kuiondoa CCM madarakani kumbe kuwa chama kikuu cha upinzani duh.
Hahahaaa,endeleeni kufanya propaganda mfu!
Kada wa CCM anapata wapi legitimacy ya kusema chama fulani cha upinzani ni bora kuliko chama fulani!Yaani principle inakataa kabisaa!
Mkuu kama ccm haijaharibika pamoja Na kuwa Na mwenyekiti asiye mwanasiasa Jpm, sembuse cdm?
uharo...Itaharakisha maendeleo kwani hawa watu wanasiasa za kistaarabu na hawana matusi tofauti na upinzani uliopo
Mwanaume anayoa na kuoa mwanaume mwenake wanafahamika kama mashoga
Je wewe ni miongoni mwao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize membe, kutaka kugombea urais tu kupitia ccm kafukuzwa.
Muulize membe, kutaka kugombea urais tu kupitia ccm kafukuzwa.
Nakumbuka WAPINZANI walipata kufananishwa na korona
Nakumbuka WAPINZANI walipata kufananishwa na korona
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Nauona mpango wa CCM kushirikiana na nccr kuwakandamiza watanzania baada ya CUF kufa cha mende.
Dawa ya hii kitu ni tume huru...apite ambaye watanzania wanamtaka kuwaongoza!!