Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

Millard Ayo angekua tajiri mkubwa sana na wala asingekua anafanya kazi kwa Kusaga
Bro kuendelea kufanya kazi kwa mtu ikiwa haibani Mambo yako ni suala la maamuzi tu ila amini uwezo wa kupata pesa hiyo inawezekana kabisa, maana ninae mdogo wangu ana YouTube channel yake last month kalipwa 23m and I used to saw his contents has a rubish but now he prove me wrong.
 
Acha kujilazimisha kuongea lugha ya mtaa iliyokuwa inaongewa na mabraza wetu back 1990's!! Eti mboyoyo... what's the fvck are you talking?!

Halafu unaelekea huelewi! Hakuna aliysema kwamba watu hawapigi hizo pesa, au hata zaidi lakini ninachokuambia kiwango unachopiga hakipimwi kwa idadi ya views!

Na kama nilivyosema hapo awali kwamba, ingawaje kadri idadi ya views inavyoongezeka KUNA UWEZEKANO wa kuongeza mapato zaidi, lakini kinachopatikana hasa ni zaidi ya idadi ya views bali kuna factors kadhaa nyuma yake!! Kwa mfano, sidhani kama unafahamu kwamba skipped ads zinakuwa hazipo accounted! Na Kibongobongo wangapi wana-skip ads ili ku-minimize bundle!!

Narudia tena, HUJUI UNACHOKIONGEA kwa sababu hata shughuli zenyewe hujawahi kufanya zaidi ya kudai eti kuna watu kibao unawafahamu wanaofanya! Wtf!
 
Niiinbox na mimi mzee hii habari imenitisha
wabongo tuache woga... sio wote wenye pesa wanatembelea Range.... Ntaku inbox scheenshot mkuu..
acha wogaaaa mkuu.... Bila clouds kusingekuwa na Millard Ayo... resect na kazi kama kawa..
 
Na je tunaodownload tunamnufaishaje youtuber?
 
Unajua vichwa vya wabongo wengi bado tupo analogy sasa ukiwaletea habari za mtu kupiga mpunga kiasi hicho huku kajifungia chumbani unazidi kumchanganya.
powa kaka... ituhamasishe tuinuke....
show za kitoto youtube watu wanapiga kufa
 
Na je tunaodownload tunamnufaishaje youtuber?
Kama unamaanisha ku-download contents, kama vile nyimbo, humfaidishi chochote! Hapo utakuwa umewafaidisha kampuni za simu na bundles zao!!

Mbali na matangazo, source nyingine ni kama una Youtub Premium Account, but for what I know, Tanzania hakuna premium account service labda kama imeanza miezi ya karibuni!
 
Kwasababu we ni mpuuzi nakupuuza kuanzia sasa😁😁
 
billion pesa ndogo sana kwa baadhi ya wadogo tz.... Hadi march mwaka huu mondi alipiga 4bl.... pespi peke yake 800ml

Tatizo tumesoma sasa TGS zinatubana...
mambo ya wako mtiifu...
plus tuna busara hatutaki kuwa wajinga
Pepsi wenyewe faida yao ni shling ngapi kwa mwaka mkuu
 
We niliongo
 
angalia inbox... acha utomaso boss
Wewe jamaa kama mwanga vile hebu tutokee hapa na mi "angalia inbox" usengeee. Kama huna point ya maana kumwaga hapa tembea huko kila saa umekomaa tu angalia inbox, angalia inbox wewe mchawi nini?
 
Bora wewe umeongea point kuliko lile jinga sijui @magufulian kila saa limekomaa tu cheki inbox, cheki inbox utafikili linatambika vile wakati limekopi kwenye website.
 
Uyu jamaa porojo nyingi sana debe tupu tu mi sioni point zako una ndoto za halinachi sana huna content.
 
jichovye unuse....
Wewe jamaa kama mwanga vile hebu tutokee hapa na mi "angalia inbox" usengeee. Kama huna point ya maana kumwaga hapa tembea huko kila saa umekomaa tu angalia inbox, angalia inbox wewe mchawi nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…