Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MziziMkavu kwa nature ya sisi wa Africa ukitaka tule hizo mboga ongeza na na faida ya kuongeza nguvu za kiume. Jamaa watakula sana tu.
mbona hiyo ni spinach sio mchicha
Ndugu yangu Mzizimkavu huku kwetu Bongo mambo yamekuwa mengi mno hadi tunachanganyikiwa. Mboga za majani ni muhimu kwa afya lakini tule mboga zipi? Kuna mchicha ule wa asili ambao ilielezwa ndio sahihi kwa afya, lakini leo kuna mboga nyingi zinaoteshwa kwenye maabara na zinakuwa kama kuku wa kisasa ambaye analiwa baada ya wiki kuanzia sita tu tangu kutotolewa, kuku hana ladha ya kuku. Mchicha unarefuka mchana na usiku, baada ya wiki mbili unaliwa japo hauna ladha ya mchicha tuliouzoea. Tumechanganyikiwa labda ututofautishie kipi sahihi na kipi feki.
Spinachi ndo mchicha.
Ni ka ba mdogo anavyoitwa uncle.
au mchicha ule nyuma ya magorofa ya urafiki, ukipita jioni au asbh wkt wana mwagilia unaziba pua maana wanatumia maji ya mfereji wa maji machafu. kwa bongo mboga za majani ni majanga matupu.Lakini sio mchicha wa bonde Keko.