Faida ya afya ya kula mboga ya mchicha health benefits of spinach

Faida ya afya ya kula mboga ya mchicha health benefits of spinach

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
health benefits of spinach

​
attachment.php
 
Attachments

  • EAT MORE SPINACH.jpg
    EAT MORE SPINACH.jpg
    60.9 KB · Views: 2,167
Ndugu yangu Mzizimkavu huku kwetu Bongo mambo yamekuwa mengi mno hadi tunachanganyikiwa. Mboga za majani ni muhimu kwa afya lakini tule mboga zipi? Kuna mchicha ule wa asili ambao ilielezwa ndio sahihi kwa afya, lakini leo kuna mboga nyingi zinaoteshwa kwenye maabara na zinakuwa kama kuku wa kisasa ambaye analiwa baada ya wiki kuanzia sita tu tangu kutotolewa, kuku hana ladha ya kuku. Mchicha unarefuka mchana na usiku, baada ya wiki mbili unaliwa japo hauna ladha ya mchicha tuliouzoea. Tumechanganyikiwa labda ututofautishie kipi sahihi na kipi feki.
 
Elimu inahitajika sana si kula ,unaweza kuwa unakula mchicha sana kumbe unakula rouphages .kazi ni namna ya kuuandaa unakuta mtu anaukatakata halafu anaosha vitamin yote inabaki kwenye maji ,au unapikwa mpaka unakuwa mrenda tena unatiwa nazi ya kutosha .Kumbuka vitamin A ndani ya mchicha ni water soluble .

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Mkuu tunajua faida ya mboga za majani na tunazipenda sana.

Wengi wetu sasa hivi tunasita kula mboga mboga za kununua sokoni kwa sababu hatuna hakika na madawa ya kuulia wadudu yanayotumika!

Wakulima wengine wanadiriki kupiga hata dawa hatari za kuulia mchwa kwenye mboga mboga! Kweli tutapona?!

Cha ajabu hakuna mtu ye yote serikalini anayeona hili na kukemea wala kuchukua hatua stahiki.

Siku moja nilidokeza hili tatizo kwa rafiki yangu ambaye ni Mkuu wa Wilaya. Alichoniambia nilishangaa!

Alisema eti wakati wa kununua mboga mboga kama kabichi anaangalia ambazo zinaonekana kuliwa na wadudu; hiyo ni dalili kuwa hazikupigwa dawa hatari!

Tatizo kubwa wakulima wa hizo mboga mboga wanapiga dawa za kuulia wadudu zisizostahili
 
Spinachi ndo mchicha.

Ni ka ba mdogo anavyoitwa uncle.

ok unajua nimejaribu kuangalia hayo majani kwenye picha hayafanani na ya mchicha ndio nika conclude but nafikiri kiswahili kina upungufu wa maneno maana hata ukienda gengeni spinach ni spinach na mchicha ni mchicha huwezi kununua spinach ukapewa mchicha.
 
Lakini sio mchicha wa bonde Keko.
au mchicha ule nyuma ya magorofa ya urafiki, ukipita jioni au asbh wkt wana mwagilia unaziba pua maana wanatumia maji ya mfereji wa maji machafu. kwa bongo mboga za majani ni majanga matupu.
 
10492043_10154246586625198_8031178430210100672_n.jpg

10291224_10154246587195198_6965162979724726514_n.jpg

Mchicha hutibu yafuatayo:

Kuumwa mgongo

Kusafisha njia ya mkojo

Kusafisha damu

Unatibu tigo

Unatibu minyoo

Unatibu damu

Baridi yabisi

Tezi la shingo

Homa

Kuongeza damu

Unatibu maumivu

Tonic ya nywele

Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi

MATAYARISHO

Chukua mchicha kilo 1 chemsha maji lita 2 na nusu.

Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5

KUTIBU MGONGO

Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unufunga

mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani

fanyahivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)

Ukiwa na Swali au Tatizo lolote unataka kulipatia ufumbuzi jaribu kuwasiliana na mimi kwa njia ya

email Baruwa ya Pepe Email Address yanguhii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Back
Top Bottom