Utaratibu wa ufanyaji kazi (mode of action) wa chanjo hizi za mwendo kasi za corona zina uwezekano mkubwa sana wa kudhoofisha mfumo wa asili wa mwili wa kujilinda na magonjwa. Utanielewa tu, iko hivi:
Seli ya kwanza kabisa ya mtu ilianza kwa muunganiko wa mbegu ya kiume na ile ya kike (zygote). Hii seli ilianza kukua kwa utaratibu wa seli kuzaana (cell multiplication, differantition, and specialization). Kila chembe hai na isiyo hai katika mwili wa mtu imezalishwa ndani kwa ndani kwa utaratibu nilioutaja hapo juu. Na kila kilichozalishwa ndani ya mtu ni kutokana na maelekezo ya vinasaba ambavyo mtu alivirithi toka kwa baba na mama.
Mwili una utaratibu wa kutunza kumbukumbu ya kila kitu kilichozalishwa ndani kwa ndani na mwili wenyewe. Kwa hiyo kitu chochote ambacho kitauvamia mwili kutoka nje ya mwili ambacho hakikuzalishwa ndani ya mwili kitatambuliwa kama mvamizi (foreign body) na mwili una utaratibu wake wa kuzalisha maaskari (antibodies) ambao kazi yake ni kushambulia wavamizi hawa na kuwaangamiza. Hiyo ndiyo huitwa kinga ya asili. Ili mwili usije kushambulia vitu vilivyotengenezwa na mwili wenyewe ndiyo maana mwili huweka kumbukumbu ya kila kilichotengenezwa na mwili wenyewe! Vinginevyo mwili ungeweza kujitafuna wenyewe!! Maelekezo yote ya kitu gani kitengenezwe kwa wakati gani yote yako ndani ya seli yenyewe kwenye vinasaba.
Kwa utaratibu wa chanjo za mRNA, kwa mara ya kwanza mwili unarubuniwa kutengeneza kinga ya mwili kwa maelekezo toka nje ya mwili na yasiyotoka kwenye vinasaba ya mtu. Iko hivi: Hiyo chanjo ya mRNA ni sehema ya vinasaba vya corona vilivyobeba maelekezo namna ya kutengeneza "miiba ya corona" ambayo hutumika kuisaidia corona kupenya kwenye seli ya mtu vijulikanavyo kama spike protein. Vikiingizwa kwenye seli ya mtu, seli itadhani kuwa haya ni maelekezo kutoka kwenye vinasaba vyake (wakati siyo), na seli itaanza utaratibu wa kutekeleza hayo maelekezo yaliyobebwa na mRNA na kutengengeneza hiyo miiba ya corona (spike protein). Kumbuka kuwa hapo kabla seli haijawahi kutengeneza hiyo miiba ya corona, kwa hiyo haina kumbukumbu hiyo. Kwa hiyo japokuwa hiyo miiba imetengenezwa ndani ya seli, lakini kwa kuwa hakuna kumbukumbu ya utengenezaji wa miiba hiyo kabla, hiyo miiba iliyotengenezwa sasa itahesabika kama mvamizi, na mwili utaanza kutengeneza maaskari (antibodies) wa kushambulia miiba hiyo, hiyo ndiyo kinga itakayotengenezwa dhidi ya sehemu hiyo ya corona. Kwa hiyo inatazamiwa kuwa mwili utakuwa umejifunza kutengeneza maaskari dhidi ya corona kwa kuwa corona huwa na miiba hiyo. Siku corona mwenyewe akivamia maaskari watakuwa tayari kutengenezwa na kumshambulia!! Hayo ndiyo matarajio!!
Lakini katika hali halisi haiwi hivyo kwa sababu baada ya mwili kuwa umetengeneza hiyo miiba ya corona kwa mara ya kwanza kwa maelekezo toka nje ya mwili, mwili uliweka pia kumbukumbu kuwa hiyo miiba ni sehemu ya mwili wa mtu maana imezalishwa ndani ya mwili na haipaswi kuchukuliwa kama mvamizi!! Mwanzo ilihesabika kama mvamizi maana hakukuwepo kumbukumbu ndani ya mwili ya utengenezaji huo kabla. Lakini kwa sasa mwili una kumbukumbu ya utengenezaji wa sehemu hiyo ya corona. Kwa hiyo corona akiingia mwilini sasa ile miiba yake haitashambuliwa na maaskari wa mwili maana itahesabika kama sehemu halali iliyotengenezwa ndani ya seli yenyewe. Hii ndiyo sababu hata aliyechanjwa anaweza kuambukizwa!! Watengenezaji wa chanjo za mRNA wanayajua yote haya !! Ndiyo maana hawakatai ukweli kuwa chanjo haizuii usiambukizwe!! Ndiyo maana kila baada ya muda fulani aliyechanjwa lazima achanjwe tena ili ku-boost kinga yake iliyolemazwa!! Maisha yake yote ataishi kwa kuchomwa chanjo za ku-boost kinga yake!! Ni kilema cha maisha cha kulemaa kwa mfumo wa asili wa kinga ya mwili!!
Sasa utajiuliza, kama wanajua hivyo kwa nini wanaikazania sana hii chanjo? Jibu ni kuwa kwao hii chanjo ina manufaa mawili makubwa: Kwanza ni fursa ya kuwaingizia watu microchip kwa ajili ya kuwafuatilia vilivyo na kuwasajili kwenye mfumo mpya wa ulimwengu yaani New world order. Pili chanjo ni biashara kubwa itakayohamisha kabisa uchumi wa mataifa na kuwekwa mikononi mwa watu wachache ambao itawarahisishia kuitawala dunia baada ya mataifa kufilisika kabisa!! Hapo ndipo ujio wa mpinga kristo utakapokuwa dhahiri. Kinachoendelea na maandalizi yake! Chanjo ni maandalizi ya mfumo wa utawala wa mpinga kristo!!