Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 380
Wadau nipeni elimu kuhusu faida za chips mayai mwilini au chips kavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila radha ya chumvi hanna utamu Wa chips mayai au kavu.faida kama zifuatazo
viazi__starchy
mayai__protein
mafuta__rapid (fatty)
lakini mbali na faida izo ni chakula chenye fravor nzuri sana yaani mfano ukilinganisha unapokula ugali na unapokula zege uwezi fananisha radha zake niayo tu
NB: wabongo wanapenda kujiaminisha vitu vya kijinga eti ni chakula cha like eti Mara ivi mara vile
Bila radha ya chumvi hanna utamu Wa chips mayai au kavu.