Faida ya kufanya mapenzi

Faida ya kufanya mapenzi

lendanai

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
375
Reaction score
280
Habari zenu wanajamii doctor naomba kujua kama kunafaida yeyote ambayo unaweza pata baada ya kufanya ufuska au mapenzi ikiwa vijana wengi hupenda kufanya je ina faida yeyote kiafya?,thanx wadau kwa mchango wenu
 
Kwani wewe mara ya kwanza kufanya mapenzi......au unapofanya mapenzi huwa unajisikiaje.....na nini kinakufanya mpaka utake tena kufanya mapenzi...??....tuanzie hapo kwanza..........
 
No please hiii ni home of greater thinker kiongoz,mm sijauliza hisia wakati wa tendo au baada ya tendo but nmeuliza faida baada ya tendo kifya understand please!!@kikulachochako
 
faida zake ni kuwa unapata Ze Utamu, utamu huu haupo kwenye pipi, soda wala kitu kingine chochote duniani. na Utamu huu Hauna cha maskini wala Tajiri, Ni wa kipekee :A S 114:Aisee

Unajiskia kwa jinsi yako. KAma ni Ke unajiskia kweli wewe ni Ke na kama ni ME unajiskia kweli wewe ni DuME la Mbegu.
Inakata misongo ya mawazo na matamanio.
kujiamini kunaongezeka na kajeuri kiasi
UJuzi wa kumfurahisha mwenzako unaongezeka. a.k.a MAufundi
Kupata watoto kupitia mapenzi badala ya chupa(Artficial insermination.
Inaongeza hali ya mtu kuujali mwili wake na kuuelewa: kuanzia USafi, Afya, mazoezi n.k.
Kufanya mapenzi ni sehemu ya mazoezi.
inajenga saikolojia na kuondoa mawenge.i.e. Mentaly fit
dah hata hivyo nimejitahidi sana
 
Hamna faida ila hasara ni nyingi kuchafua mashuka itaongeza gharama za matumizi kwa mwezi kwa kununua sabuni za kufulia, pili (noise pollution) majirani kidogo watapata tabu endapo kelele hazitadhibitiwa. tatu yanasababisha ubebaji wa mimba na kuzaa watoto mbumbumbu kama aliyeuliza swali asiyejua tofauti ya ufuska na mapenzi, Ushauri wa bure tafuta leseni ya akili.
 
Back
Top Bottom