Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ukiwa ni Mvivu basi utanenepa na kunitafuta mimi nikupe dawa ya kupunguwa fanya mazoezi acha mambo ya umbea DinazardeMi livivu aisee nikianza mazoez ntajitahid wiki tu, umbea ukifululiza ndio sifanyi kabisaa naenda umbeaniiii
Mzizimkavu nipe dawa ya kuacha kupenda umbea badala yake nipende mazoezii aiseee maana nna talaka moja ya umbea sasa ikifika ya pili si ntaachika nife miee