Faida ya kula Korosho kwa Afya yako

Faida ya kula Korosho kwa Afya yako

Korosho zilizokangwa na mbichi zipi ni nzuri kwa afya ya mlaji?
 
Korosho zinanenepesha balaa zina mafuta na protini kali sio nzuri kwa diet ni vyema mkatoa tahadhali kwa walaji pia
 
Wana JF, kulinda afya zenu kuleni korosho.

Korosho ni chakula aina ya nuts, mbegu, yenye madini mengi ya aina ya zinc.

Zinc mwilini huongeza kinga ya mwili, kwa vile ni madini yanatumiwa sana na mwili kujikinga na maradhi.

Someni hapa tuelimike

 
Mkuu ungeweka tangazo , tujue bei imepungua ngapi ?
 
Back
Top Bottom