Faida ya kununua viwanja vilivyopimwa

Faida ya kununua viwanja vilivyopimwa

Enorme

Member
Joined
May 16, 2015
Posts
13
Reaction score
7
Migogoro ya ardhi nchini ni moja ya matatizo makubwa yanayotokana na watu wengi kununua viwanja au ardhi ambayo haijapimwa na serikali kwa kushirikiana na wadau wa ardhi nchini. Kutokana na ardhi kubwa kutopimwa, hali hiyo inasababisha wananchi wengi kuingia kwenye migogoro ya ardhi isiyokwisha na kama ardhi yote ingekuwa imepimwa basi migogoro isingekuwa na nafasi.

Kutokana na hali hiyo serikali na wadau wengine wameanza kupima ardhi kw
a ajili ya matumizi ya makazi, biashara na huduma za jamii. Upimaji wa ardhi umelenga kupunguza migogoro mingi ya ardhi ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara."Upimaji wa ardhi lazima uzingatie mipango ya maendeleo ikiwa ni pamoja kuandaa michoro ya maeneo husika, kutokana na upimaji mji utauwekwa katika ramani nzuri na kuvutia maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Wananchi Wanashauriwa kununua viwanja vilivyopimwa kutaondoa mgongano wa aina yoyotena hivyo kuchochea maendeleo ya sehem. Kutokana na kuwapo kwa migogoro ya ardhi ya muda mrefu katika maeneo mbalimbali nchini, wananchi wanashauriwa kujitokeza kupima na kununua viwanja ambavyo vimepimwa ili kutumia hati za viwanja kupata mikopo kwenye taasisi za kifedha.

Wakati sasa umefika kwa wananchi kununua maeneo yaliopimwa ili kuondoa migogoro ya ardhi ya mara kwa mara. Kama wananchi na watanunua maeneo yaliopimwa na tatizo la kuuziwa ardhi zaidi ya mara moja na wataiona thamani ya fedha waliyoitumia kununulia ardhi.

Kufanya hivyo kuna faida nyingi kama vile kutumia hati ya kiwanja kama dhamana ya kupata mkopo benki na taasisi nyingine za fedha. Pia faida nyingine ni eneo la makazi kuwa na miundombinu, kwa mfano barabara, maji, umeme na huduma nyingine za kijamii.

Tembelea Geo Survey Wide Range Co Ltd kwa ukurasa wa Facebook na kwa Instagram @eosurveywiderangeco..ltd

 
Duh nikajua ni outline ya faida, kumbe ni tangazo la biashara
 
Migogoro ya ardhi nchini ni moja ya matatizo makubwa yanayotokana na watu wengi kununua viwanja au ardhi ambayo haijapimwa na serikali kwa kushirikiana na wadau wa ardhi nchini. Kutokana na ardhi kubwa kutopimwa, hali hiyo inasababisha wananchi wengi kuingia kwenye migogoro ya ardhi isiyokwisha na kama ardhi yote ingekuwa imepimwa basi migogoro isingekuwa na nafasi. Kutokana na hali hiyo serikali na wadau wengine wameanza kupima ardhi kwa ajili ya matumizi ya makazi, biashara na huduma za jamii. Upimaji wa ardhi umelenga kupunguza migogoro mingi ya ardhi ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.“Upimaji wa ardhi lazima uzingatie mipango ya maendeleo ikiwa ni pamoja kuandaa michoro ya maeneo husika, kutokana na upimaji mji utauwekwa katika ramani nzuri na kuvutia maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Wananchi Wanashauriwa kununua viwanja vilivyopimwa kutaondoa mgongano wa aina yoyotena hivyo kuchochea maendeleo ya sehem. Kutokana na kuwapo kwa migogoro ya ardhi ya muda mrefu katika maeneo mbalimbali nchini, wananchi wanashauriwa kujitokeza kupima na kununua viwanja ambavyo vimepimwa ili kutumia hati za viwanja kupata mikopo kwenye taasisi za kifedha. Wakati sasa umefika kwa wananchi kununua maeneo yaliopimwa ili kuondoa migogoro ya ardhi ya mara kwa mara. Kama wananchi na watanunua maeneo yaliopimwa na tatizo la kuuziwa ardhi zaidi ya mara moja na wataiona thamani ya fedha waliyoitumia kununulia ardhi. Kufanya hivyo kuna faida nyingi kama vile kutumia hati ya kiwanja kama dhamana ya kupata mkopo benki na taasisi nyingine za fedha. Pia faida nyingine ni eneo la makazi kuwa na miundombinu, kwa mfano barabara, maji, umeme na huduma nyingine za kijamii
 
Back
Top Bottom