Unamaana gani kusema huku? "JF" Inaweza kuwa sehemu sahihi ikitokea bahati iliyosahihi.Sawa so sio mbaya kutafuta huku
We sema kama dm ipo wazi tuje. Karibu dm bibie tusaidiane kupata majibu ya ayo maswali yako.Tuambiazane faida za kumtafuta au za kumpata mwanaume mitandaoni wanadumu.
Nakazia hapaNi ujinga,wastage of time
Roho mbaya kiaje mkuu..Una roho mbaya ww
Bora kukutana, kutafuta mhh watu wanakuchukulia kama hujatulia flan hv hasa upande wa kike..lakini mtakutana vipi mspotafutana sasa,..Haina tofauti na kutafuta mtaani, ni kubahatisha tu....
Ndio unaweza kutumika, sijui kupotezewa muda wako, lakini mtaani si pako hivyo pia?
halafu kuna kutafuta mpenzi mtandaoni, na kukutana na mpenzi mtandaoni
kukutana ndo imekaa vizuri
hausemi nia yako mwanzo kabisaBora kukutana, kutafuta mhh watu wanakuchukulia kama hujatulia flan hv hasa upande wa kike..lakini mtakutana vipi mspotafutana sasa,..
Ipo wazi ila ......We sema kama dm ipo wazi tuje. Karibu dm bibie tusaidiane kupata majibu ya ayo maswali yako.
KabisaNakazia hapa
Hii Ni kwaajil ya wanawake Tu au wanaume wanaruhusiwaTuambiazane faida za kumtafuta au za kumpata mwanaume mitandaoni wanadumu.
HAO NI WAPUMBAVU WA KIWANGO CHA LAMI.Wengi huja maishani kukuchunguza wapate cha kusimuliana jf
Lakini twajifunza kutokana na makosaHAO NI WAPUMBAVU WA KIWANGO CHA LAMI.
Ni heri mjinga kuliko mpumbavu. Ukiona unataka kujuana na mtu humu ili umuanike kwenye simulizi huo ni upumbavu pro max. Mtu karuhusu mfahamiane ibaki ni siri yenu hata kama hayupo vile ulivyodhania kabla.
Ukiwa unatafuta mtu wa mahusiano mtandaoni kwanza kabisa usitangaze ya kuwa unatafuta, hili ni kosa ambalo wengi hulifanya.Mm sielewi chochote kuhus mapenzi ya mtandaoni, ila Kuna mwanangu Half americananasema alikua anaandikaga point mtandaoni akapata mpenzi wa ndoto yake...labda aje atufunze jambo
Ndio na haimaanishi kwa makosa hayo kuhalalisha kuwa wote wapo na tabia hiyo ya kipuuzi. Ni wachache wanafanya mambo ya hovyo yanayogharimu hadi wengine.Lakini twajifunza kutokana na makosa
Wamitandaoni ni hao hao wa mitaani. Wengine wanadumu na wengine hawadumu.Tuambiazane faida za kumtafuta au za kumpata mwanaume mitandaoni wanadumu.
Wana kheri waliobahatika kupata serious relationship through jf.....humu siyo mkuuNdio na haimaanishi kwa makosa hayo kuhalalisha kuwa wote wapo na tabia hiyo ya kipuuzi. Ni wachache wanafanya mambo ya hovyo yanayogharimu hadi wengine.
Wakweli wapo mkuu,ila tatizo ni kuwapata ,kuwatambua ni ngumu sana Hasa ikiwa ulishakutana na mmoja akakuumiza si rahisi kuwaaminiKwa upande wa kumtafuta mwanamke, Faida ni kuwa utatapeliwa zaidi ya mara moja ndipo umpate mkweli