Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

Sawa so sio mbaya kutafuta huku
Unamaana gani kusema huku? "JF" Inaweza kuwa sehemu sahihi ikitokea bahati iliyosahihi.

Nje ya hapo that love can be a real sucker,catching you off guard and draining you completely.Fanya mambo sahihi kwa kufuata mambo yaliyosahihi ili kuepusha changamoto za ajabu,usikurupuke.
 
Haina tofauti na kutafuta mtaani, ni kubahatisha tu....

Ndio unaweza kutumika, sijui kupotezewa muda wako, lakini mtaani si pako hivyo pia?

halafu kuna kutafuta mpenzi mtandaoni, na kukutana na mpenzi mtandaoni

kukutana ndo imekaa vizuri
Bora kukutana, kutafuta mhh watu wanakuchukulia kama hujatulia flan hv hasa upande wa kike..lakini mtakutana vipi mspotafutana sasa,..
 
Bora kukutana, kutafuta mhh watu wanakuchukulia kama hujatulia flan hv hasa upande wa kike..lakini mtakutana vipi mspotafutana sasa,..
hausemi nia yako mwanzo kabisa

mtaanza kwa utani utani mfano huku jf kwenye nyuzi za MMU na chit chat

mtazoeana tu pole pole
 
VIJANA ACHENI PUNYETO, KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO.
 
Wengi huja maishani kukuchunguza wapate cha kusimuliana jf
HAO NI WAPUMBAVU WA KIWANGO CHA LAMI.

Ni heri mjinga kuliko mpumbavu. Ukiona unataka kujuana na mtu humu ili umuanike kwenye simulizi huo ni upumbavu pro max. Mtu karuhusu mfahamiane ibaki ni siri yenu hata kama hayupo vile ulivyodhania kabla.
 
Mm sielewi chochote kuhus mapenzi ya mtandaoni, ila Kuna mwanangu Half americananasema alikua anaandikaga point mtandaoni akapata mpenzi wa ndoto yake...labda aje atufunze jambo
Ukiwa unatafuta mtu wa mahusiano mtandaoni kwanza kabisa usitangaze ya kuwa unatafuta, hili ni kosa ambalo wengi hulifanya.

Binafsi hata sasa nikiamua kutafuta mtu napata.
 
Back
Top Bottom