nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Wakuu msaada kwa wale wanaofahamu faida ya biashara ya kuuza nyama ya ngurue ikoje na vip changamoto zake nina mtaji wa laki 2. Vifaa ninavyo. Asanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WatamuuaUbia wateja tu ,mpe nusu badala ya kilo
USSR
Be serious mkuu acha utani kwa issue sensitive kama hiziUbia wateja tu ,mpe nusu badala ya kilo
USSR
Kwahiyo ulidhani tunapewa yote?Be serious mkuu acha utani kwa issue sensitive kama hizi
Mbona kama wizi?Kwahiyo ulidhani tunapewa yote?
Labda hii ni kwa mikoa gani? Au kote? Mimi iringaBei ya kununua ni 8000, kuitengeneza unauza 14 kwa kilo, ukiondoa na gharama zingine 2000, faida ni 4000 kwa kilo uliuza kilo 10 kwa siku una 40k safi kabisa
Hoi ni hapa Dar na Imekuwa Adimu sana, kwa Kutinga sijui bei ya kununua ikiwa mbichiLabda hii ni kwa mikoa gani? Au kote? Mimi iringa
Sawasio ngurue ni nguruwe
Hapana sina ndoto za kutoka Tanzania hivi karibuniNtakuunganisha na mwanangu yupo Nigeria Kaskazini mkapige hela.
Wee!Hii biashara yake Ina faida sana huku Zanzibar
Kwa jumla au reja?Kwa iringa kilo elfu 6
Kitimoto sahzi imetiliwa mkazo kilo ni alf 10 kukutengenexea roast hadi 15Labda hii ni kwa mikoa gani? Au kote? Mimi iringa
Anza na N kubwa.sio ngurue ni nguruwe
umekuwa mwalimu wa kiswahili tena sio mwalimu wa magarAnza na N kubwa.