Faida ya kuuza nyama ya kitimoto naipata vipi?

Faida ya kuuza nyama ya kitimoto naipata vipi?

Huku uswazi kuna kitimoto hadi za bukubuku.mapupu,bandama,marapurapu.safi kabisa.pande kama ngumi buku au buku mbili unachagua unakaangiwa na ugari wa jero acha kabisa.mchawi kachumbali na mchicha
 
Kwahiyo ulidhani tunapewa yote?
Hajui kuwa kwenye kila kilo moja kuna finyango mbili tatu zinaondolewa baada ya kukatwa katwa so muuzaji akiuza kilo kumi au zaidi akaondoa vipande viwili vitatu anapata kilo moja na ushee ya bure . Maana yake ana 12k hadi 15k tayari sasa piga hesabu auze walau kilo 50 kwa siku
 
Bei ya manunuzi na ujuzi wa kuitengeneza ndio FAIDA IPO hapo ...unaweza kukosa FAIDA nzuri kutoka Bei ya manunuzi Ila side dish na mazingira ya kusubiria iandaliwe ikakulipa kwa kuuza soda juise au gambe..
 
Back
Top Bottom