Faida ya kuwa Dar

Faida ya kuwa Dar

watu wengine hata nje ya nchi
4a9fb93fe5f063fbdc5da55545486f8b.jpg


the great
 
Bado hujataja faida ya kuwa Dar. Umeleta tu vitu vilivyo Dar. Tupe maelezo ya kutosha ni zipi faida za kuishi Dar!
 
Watoto wazuri wako dar
Wanyama wako dar (Kinondoni)
Wahongaji tupo dar
Marijali tupo dar ndio mana ni mkoa wenye population kubwa Tz.
K Quality ziko Dar
Wabunge wenu wote wako Dar


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom