Faida ya kuwa Dar

Dar karibia kila kitu mnalishwa na huku mnapopaita mikoani

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app

Nabila ya pesa za wana Dar hivyo vyakula Na matunda mtawauzia nani
 
Wanaume wasio na nguvu za kiume wapo Dar pia
 
Bado hujataja faida ya kuwa Dar. Umeleta tu vitu vilivyo Dar. Tupe maelezo ya kutosha ni zipi faida za kuishi Dar!
 
Watoto wazuri wako dar
Wanyama wako dar (Kinondoni)
Wahongaji tupo dar
Marijali tupo dar ndio mana ni mkoa wenye population kubwa Tz.
K Quality ziko Dar
Wabunge wenu wote wako Dar


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…