Faida ya kuwa Dar

Kweli Dar kuzuri:
Ombaomba wengi wako Dar
Wavuta bangi wengi wako Dar
Mashoga wengi wako Dar
N.k. n.k. n.k.
 
usisahau pia mikoani
kuna viwanda bidhaa zinatoka uku

mahindi pia

magorofa ndefu pia zipo uku

maharage na njegere pia zipo mikoani

nyany na vitunguu pia ni mkoani

haha usisahau pia timu ya mkoa ipo uk

usisahau pia timu ya mtaa ipo uku

NB:kama we mjanja ivo vote hamishia dar
 
Unakuta kaenda kumsalimia mme wa dada yake hongera kwa kua dar.
 
Dah.....kulala saa saba usiku kuamka saa 10 alfajiri[emoji41]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Kuna upungufu wa nguvu za kiume.
Dah...wanaume wako busy Dar..... Kulala sanasana masaa 2.....Nguvu za nini sasa[emoji41] [emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
ivo vitu vya anasa ivo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashoga wako dar
Machangudoa wako dar
Watoto wa mitaani wako dar
Mitaro inayotiririsha vinyesi iko dar
Wanaoletewa chakula toka mikoani wako dar
Wanaume wanaokula sana chips wako dar
Watu wengi wanaofanya biashara wakiwa uchi huku hawaonekani wako dar(kariakoo)
Tatizo kubwa la usafiri,maji,na foleni lipo dar
Nadhani inatosha kwa leo
 
Dar karibia kila kitu mnalishwa na huku mnapopaita mikoani

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Ila makombo ni chakula kinachomfanya kichaa aishi.....ilo ni fumbo kwa nyie wa dar

rap beast
 
Wachoyo wote wapo Dar kaugali kakula watoto wawili mnataka tule watu wazima nane cjui ni hali ngum au uchoyo tu




Nabaki Hukuhuku....

KIMEO CHANGU
 
Kweli Dar kuzuri:
Ombaomba wengi wako Dar
Wavuta bangi wengi wako Dar
Mashoga wengi wako Dar
N.k. n.k. n.k.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
Hata mihogo mibichi inatoka mikoani

the great
 
Dar karibia kila kitu mnalishwa na huku mnapopaita mikoani

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Josevarest si nasikia na wewe wa dar

the great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…