Faida ya kuwa Dar

Faida ya kuwa Dar

Michael Jackson na Obama hawakuish DAR,walizuru/kutembelea DAR

May Allah bless Me and You
 
Dar hakuna uwanja wa UHULU

May Allah bless Me and You
 
Star TV ni moja ya tv Kubwa

May Allah bless Me and You
 
Ikulu hata DODOMA ipo

May Allah bless Me and You
 
Hapo ndo ni kama umeonyesha udhaifu wetu kama Taifa na si suala la sifa badala kutawanya shughuli zetu mbalimbali katika mikoa kulingana na jiografia na shughuli za kiuchumi za huko mikoani ,mambo yote yanarundikwa mahali pamoja, hivi watu wote wakija Dar unajua madhara yake ya kijamii,kiuchumi na hata ki siasa?
 
12243fec18890e0633907fac6bf460b6.jpg
9b7678cebb3ae0e47c356feff78c25e6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panya road wapo Dar
Scorpion mtoa macho yupo Dar
Mkapa katuita Watanzania Malofa na Wapumbavu akiwa Dar
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dar itabak kuwa dar,
Ukweli upo hivyo,iwe nzur iwe mbaya

May Allah bless Me and You
cceaaca8c1a27b82630aedb1aa986a64.jpg


the great
 
Ila takataka, maji machafu na vinyesi vinavyozagaa mitaani hasa wakati wa mvua pia viko Dar mkuu.
 
Le profesa yupo dar

the great
 
Back
Top Bottom