Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu Leo nawaletea faida za kuishi dar mtaongezea za kwenu pia [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Faida ya Kuwa Dar-es-salaam
Rais anaapishwa Dar
Ikulu ipo Dar
Magorofa marefu yapo Dar
Magari ya Mwendokasi yapo Dar
Tren za Mwakyembe zipo Dar
Yanga ipo Dar
Simba ipo Dar
Azam ipo Dar
Bahari ya Hindi ipo Dar
Hospital ya Hindi Taifa ipo Dar
Coco Beach ipo Dar
TV zote kubwa zipo Dar
Radio zote kubwa zipo Dar
Kombe la Dunia liliishia Dar
Mtaa wa Rooney upo Dar
Uwanja wa Kimataifa wa Mwl
Nyerere upo Dar
Uwanja Taifa upo Dar
Uwaja wa Uhulu upo Dar
Ukumbi mkubwa wa Dar Live upo Dar
Wasanii wote wakubwa wapo Dar
*Daraja zuri na lakuvutia la Mwl
Nyerere lipo Dar*
Singeli zipo Dar
Vigodoro vipo Dar
Ndondo Cup ipo Dar
Aliyemkumbatia Rooney yupo Dar
Aliyemkumbatia Kaka wa Brazil yupo
Dar
Michael Jackson aliishia Dar
Obama aliishia Dar
Makilikili yaliishia Dar
Endeleeni kukaa huko huko Mikoani
mkitoa funza Miguuuni
, *Vitu vizuri tunaanza kula sisi
kisha makombo yanapelekwa
Mkoani*
Kama nawaona vile mnataka
kutokwa povu"!! Hahahahaa
Usisahau na bashite yupo dar[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
the great
anhaa hapo sawaNabunia tu mkuu
wala hataLabda avatar yako ni ya dar
the great
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]WAPO DAR [emoji12] [emoji12]
View attachment 548793View attachment 548797View attachment 548799View attachment 548800
Samael
Maana kamanda wangu kwa jinsi unavyopenda dona, dagaa rosti na mchicha bangi, najua kabisa wee sio mzee wa jiji la pweza.anhaa hapo sawa
Ni kweli kabisa mkuu, nikienda huko sikai hata wiki nageuzaMaana kamanda wangu kwa jinsi unavyopenda dona, dagaa rosti na mchicha bangi, najua kabisa wee sio mzee wa jiji la pweza.