Tatizo NIDA lina wafanyakazi wengi wajinga wajinga wakisaidiwa na maafisa vipenyo na wa uhamiaji ambao wao wapo katika kunyanyasa waombaji badala ya kuwa Saidia watu. Au wanafanya makusudi ili Kulinda ajira maana , Wana wasi wasi watu wakiisha pata vitambulisho , watakuwa hawana kazi.Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena.
Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo.
Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake kama raia halali anapaswa kulipia.
Uhuru ulituletea jinamizi la CCM kutunyonya bila huruma.
Je, unajivunia kuwa Mtanzania au unavumilia kuwa Mtanzania??Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena.
Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo.
Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake kama raia halali anapaswa kulipia.
Uhuru ulituletea jinamizi la CCM kutunyonya bila huruma.
Ukiona kuna mambo holela chini, ujue juu kuna uongozi na usimamizi holela.Tatizo NIDA lina wafanyakazi wengi wajinga wajinga wakisaidiwa na maafisa vipenyo na wa uhamiaji ambao wao wapo katika kunyanyasa waombaji badala ya kuwa Saidia watu. Au wanafanya makusudi ili Kulinda ajira maana , Wana wasi wasi watu wakiisha pata vitambulisho , watakuwa hawana kazi.
NavumiliaJe, unajivunia kuwa Mtanzania au unavumilia kuwa Mtanzania??
Ni mjinga gani atakubali kulipia kadi ya mpiga Kura?Huenda ni mpango wa Chama pendwa kupunguza kura za Wananchi!
Ni mwananchi yupi yuko radhi kulipia kadi ya Mpiga kura wakati anaamini kuna Wizi wa kura?
huo ndio mwanzo wa haki kuwa na thamani Tz.Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena.
Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo.
Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake kama raia halali anapaswa kulipia.
Uhuru ulituletea jinamizi la CCM kutunyonya bila huruma.
Mdude_NyagaliHii aione Mwamba wa Kusini (Mwambukusi)
Eti ngoja tuone,huko hazina hakuna mtu sahihi.Huenda ni mpango wa Chama pendwa kupunguza kura za Wananchi!
Ni mwananchi yupi yuko radhi kulipia kadi ya Mpiga kura wakati anaamini kuna Wizi wa kura?