ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mwezi wa Sita Pwani ya mashariki na ya kusini mwa Tanzania lazima mvua inyeshe Kwa ajili ya maua hasa ya mikorosho na maembe pia mvua inasaidia kupunguza baridi ndo maana Jana maeneo ya Dar na Mtwara imeendelea kunyesha.