Faida ya unywaji wa vodka au bia

Faida ya unywaji wa vodka au bia

pombe haina faida yoyote ya kimsingi Zaidi ya kupata matatizo kibao ya kimwili ikiwemo pancreatitis, liver cirrhosis, inaaffect mfumo wa fahamu (CNS), cancer na hata ni moja ya risk factor ya ulcers kwa mimi naona hamna faida yoyote Zaidi ya kujitia matatizoni ni ushauri tu TAKE IT OR LEAVE IT
 
Back
Top Bottom