FAIDA YA WACHEZAJI WA KIGENI NA KUFUZU AFCON

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
507
Reaction score
272
Leo hii tumejionea faida kubwa ya wachezaji wa kigeni wanao cheza nchini na juhudi za watanzania kuiga

Ukiangalia kwa undani mchezo wa Leo kati ya UGANDA Na TANZANIA utaona nikwajinsi gani wachezaji wa Tanzania wamecheza mpira wa kuiga wachezaji toka nje ya nchi kama, chama, Kagere ,okwi nk, hiyo ndiyo faida kubwa ya kuwaruhusu wachezaji wa nje kucheza nchini kwa wingi,

Tunaomba TFF waruhudu club kusajiri wachezaji kutoka nje ya nchi kusajiri idadi yoyote ili kuwafanya watanzania wasiwe wageni kwenye mashindano haya,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida ni kupeleka wachezaji wengi wakacheze nje ya nchi. Nadhan tumejionea tofauti. Tukiendelea hiv for five years tutakuwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hii tumejionea faida kubwa ya wachezaji wa kigeni wanao cheza nchini na juhudi za watanzania kuiga

Ukiangalia kwa undani mchezo wa Leo kati ya UGANDA Na TANZANIA utaona nikwajinsi gani wachezaji wa Tanzania wamecheza mpira wa kuiga wachezaji toka nje ya nchi kama, chama, Kagere ,okwi nk, hiyo ndiyo faida kubwa ya kuwaruhusu wachezaji wa nje kucheza nchini kwa wingi,

Tunaomba TFF waruhudu club kusajiri wachezaji kutoka nje ya nchi kusajiri idadi yoyote ili kuwafanya watanzania wasiwe wageni kwenye mashindano haya,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu wewe, sisi tunahitaji kina Samata wengi zaidi fala sana wewe mbumbumbu fc.

Leo ndio umerudi baada ya likizo ya uzazi?
Ndombolo iliishia wapi?Ulishikwa makalio.
Huna tofauti na aliyeahidi atakunya
Muwe mkiahidi mnarudi baada ya mechi.
 
Back
Top Bottom