Faida za Aloe vera kwa kuku jamii ya Broiler.

Faida za Aloe vera kwa kuku jamii ya Broiler.

Joined
Jan 1, 2013
Posts
23
Reaction score
21
mmea wa aloe vera umekua ukitumika kwa miaka mingi kama tiba na kinga kwa binadam na mifugo.
Hali iyo ilipelekea shirika la US National Library of
Medicine,pamoja na vet world,kufanya utafiti katika mmea huu pamoja na majaribio yale kua na majibu mazuri zaidi.

Utafiti huo ulifanyiwa majaribio kwa kuku aina ya broiler, ukihusisha ukuaji,kinga,bacteria,virus ,afya,mayai nk.

Majimaji yaliyo katika aloe vera yaliotolewa kwa usahihi.,ya vitamini,mineral,na enzymes muhimu.

Vitamini zilizomo.
A,B1,B2,B3,B5,B6,B12,C na E,
Mineral zilizomo.
Calcium,chromium,copper,iron,magnesium,manganese,potassium,phosphorus,sodium na zink.

Utafiti huo ulithibitisha Aloe Vera inafaa kutumika kama
1. Anti-bacterial.
2.Anti-viral.
3.anti-fungal.
4.anti-oxidant
5.anti-inflammatory.
6.anti-diabetic
7. Immunomudulatory.

Maji ya aloe vera yaliohifadhiwa yana Acemannan ambayo ni primary polysaccharide huamsha kinga kwa broiler.

Katika utafiti uliofanywa na majaribio.
Kuku waliopewa maji yaliyochanganya na aloé vera gel

vijiko 3-4 vya chai kwa 5liter ya maji.

Waliongezeka Uzito,na hali ya utagaji kuongezeka, tofaut na kuku ambao walipewa antibiotic na madawa mengne.

Vile vile waliwapima kuku walikua wanatumia aloe vera na kubaini hawakua na bacteria,na virus,ukilinganisha ambao hawapewi.

Itaendealea.

Kwa mahitaji ya aloe vera
zipo 300ml ni pm
 
Back
Top Bottom