Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kuna mambo yanafikirisha sana asee, gharama za umeme Bado zilezile, badhaa Bado na bei ileile, uchumi wetu raia Bado uleule!. Ni kwanini tulijenga hili bwawa ili tuwashie taa? Viwanda havijengwi kama tulivyoaminishwa shida nini wajomba?