ZOYA internet
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 202
- 407
- Thread starter
-
- #21
Ni laki moja kwa mwez na unaweza kulipa kidogo kidogoNaomba ufafanuzi kwa hiyo inayochukua watu kumi, je gharama za kila mwezi zipoje?
Kama ulikua na matumizi ya gb 100 kwa siku lazima isikufikishe siku nzima mana mfano kama mtandao unatoa CAP yake kwa siku gb 75 kwenye kifurush cha kulipia 100k na wewe una matumizi ya gb 100 hapo nakubali lazima uione haifai kwako labda ungeenda kifurushi cha kulipia 400k kwa mwezi ambacho ndio kinakupa hadi labda GB 200 kwa siku. kama unatumia gb 100 kwa siku manake wewe hata ukichukua router ya airtel ambayo labda inatoa gb 500 kwa mwez manake utakua na siku 5 tu za kutumia internet yenge kasi au ukiwa kifurushi cha juu yake kinachokupa CAP ya TB 1.2 mana yake wewe utakua na siku 12 za kutumia internet bila shida baada ya hapo speed itashuka mnoo. Nimetolea mfano huo ikiwa kweli kila siku unamaliza gb 100.Nimetumia zote, YAS ni matapeli, ukiwa na matumizi ya GB 100 kwa siku hutoboi. Narudia tena kwa matumizi makubwa VODACOM na AIRTEL ndiyo chaguo sahihi, kama uko karibuna miundombinu ya TTCL pia ni chaguo zuri sio YAS. YAS NI MATAPELI.
Airtel na Vodacom natumia mwezi mzima, speed haishuki hata siku 1. Hilo tatizo lipo kwenu tu mbwa nyie.Likewise kwako unatakiwa ufaham gb ambazo mtandao huo unatoa kabla ya kusifia mtandao fulani, mana unaweza kujikuta unapata lawama toka kwa mdau humu atakaeenda kununua router fulani akitegemea itampa matokeo kama ulivyosema ww kumbe kutokana na matumizi yake hiyo haimfai.
NITOE UFAFANUZI KIDOGO.
iko hivi kila mtandao una Capacity limit yake(CAP) yani hicho ni kiwango cha Gb unachopewa uweze kukitumia kwa speed kubwa. Gb hizo zikiisha speed ya mtandao inashuka sana maranyingi hadi mbps1 au 2 na kila mtandao unautaratibu wa aina ya CAP kua inayolewa kwa muda gani. Kuna wanaotoa kwa siku na wengine wanatoa kwa mwezi. Mfano unakuta labda airtel wanatoa Gb 300 kwa mwezikwenye kifurushi cha kulipia 70k, au unakuta yas wanatoa gb 36 kila siku kwenye kifurushi cha kulipia 100k kwa mwezi, au unakuta halotel wanatoa GB100 kwenye kifurush cha kulipia 50 kwa mwezi.
Sasa kinachoweza kumfanya mtu aone router fulani ni nzuri ni kama itaendana na matumizi yake. Yani mfano anaetumia halotel kama matumizi yake kwa mwezi labda hayatazidi gb 100 huyu mtu akitumia kifurush cha halotel cha kulipia 50k ataona mtandao uko sawa mwezi mzima, ila ikiwa tarehe kumi tuu unakuta kashazimaliza zile gb 100 huyu baada ya hiyo tareh 10 ataona mtandao una speed ndogo hadi mwezi mwingine uanze. Pia kama mtu anatumia router ya tigo na ana matumizi labda kwa siku hazizidi gb 36 ataona mtandao hauna shida siku nzima ila ikiwa labda saa tatu usiku kashazimaliza zile gb 36 basi huyu mtandao utashuka speed hadi ifike saa 6 usiku(siku nyingine ianze).
Hizo data nimetolea mfano tu. Hivyo ndivyo ilivyo na ndio mana hata ukiingia mfano tiktok ukaangalia video ya mtu alietoa malalamiko kuhusu router fulani kua na mtandao mbovu utakuta watu wengine wanakomment kua ni kweli router hiyo iko vibaya wengine wanasema iko vizuri nikwasababu wametofautiana matumizi. Sababu nyingine zote sio kubwa sana kama hiyo (sababu zingine ndogo ndogo zinazoweza ku athiri performance ni kamavile technologia ya kifaa na mtandao namaanisha 3G, 4G,5G, nk. )
Unatumia gb 100 kila siku kwa mwezi mzima?Airtel na Vodacom natumia mwezi mzima, speed haishuki hata siku 1. Hilo tatizo lipo kwenu tu mbwa nyie.
Ofisi zetu zote tunatumia 100-105 GB kila siku. Voda na Airtel zinapiga kazi bila shida, Tigo ni matapeli, zilishindwa na ukipiga simu wanadai matumizi yako juu. Nyie ni mbwa koko kabisa. Airtel, Vodacom na TTCL hawana upumbavu huo. Nawashauri wote wenye matumizi makubwa watumie hizi option 3 tu kwasasa.Kama ulikua na matumizi ya gb 100 kwa siku lazima isikufikishe siku nzima mana mfano kama mtandao unatoa CAP yake kwa siku gb 75 kwenye kifurush cha kulipia 100k na wewe una matumizi ya gb 100 hapo nakubali lazima uione haifai kwako labda ungeenza kifurushi cha kulipia 400k kwa mwezi ambacho ndio kinakupa hadi labda GB 200 kwa siku. kama unatumia gb 100 kwa siku manake wewe hata ukichukua router ya airtel ambayo labda inayoa gb 500 kwa mwez manake utakua na siku tano tuu za kutumia internet yenge kasi au ukiwa kifurushi cha juu yake kinachokupa CAP ya TB 1.2 mana yake wewe utakua na siku 12 za kutumia internet bila shida. Nimetolea mfano huo ikiwa kweli kila siku unamaliza gb 100.
NOTE: ni muhimu sana kujua CAP ya kila mtandao kabla ya kununua router yao ndipo utajua ni ipi inakufaa kwa matumiz yako.
Yes, njoo unitembelee ofisini kwangu uone kwa vitendo.Unatumia gb 100 kila siku kwa mwezi mzima?
Nini maana ya UNLIMITED, maelezo yako hayaonyeshi hivyoKama ulikua na matumizi ya gb 100 kwa siku lazima isikufikishe siku nzima mana mfano kama mtandao unatoa CAP yake kwa siku gb 75 kwenye kifurush cha kulipia 100k na wewe una matumizi ya gb 100 hapo nakubali lazima uione haifai kwako labda ungeenda kifurushi cha kulipia 400k kwa mwezi ambacho ndio kinakupa hadi labda GB 200 kwa siku. kama unatumia gb 100 kwa siku manake wewe hata ukichukua router ya airtel ambayo labda inatoa gb 500 kwa mwez manake utakua na siku 5 tu za kutumia internet yenge kasi au ukiwa kifurushi cha juu yake kinachokupa CAP ya TB 1.2 mana yake wewe utakua na siku 12 za kutumia internet bila shida baada ya hapo speed itashuka mnoo. Nimetolea mfano huo ikiwa kweli kila siku unamaliza gb 100.
NOTE: ni muhimu sana kujua CAP ya kila mtandao kabla ya kuamua kununua router yao, hapo ndipo utajua ni ipi inakufaa kwa matumiz yako.
Nitaitaka hii siku za usoni, maana hela za vifurushi kwa huyu mwanamke zitakuja kuniua.1. Router inatumia umeme ila ikiwa hakuna umeme unaweza kutumia power bank
2. Ipo pocket wi-fi ambayo inachukua watu 10 tu hiyo pamoja na bando unlimited unaipata kwa 130k tu
Hakuna router inayokosa CAP ndugu yangu labda kama unaongea kwaajili ya kulinda maslahi fulani ila mtu yeyote anaejua router kiundani anafaham kila router ina CAP yake. Basi tuambie wanakupa CAP gb ngapi ambayo inaweza kukufanya utumie GB 100 kila siku mwezi mzima. Na kama kweli inamaliza gb 100 kwanini utumie zote sasa airtel na voda sema tuu ukweli wewe ni agent wa mitandao hiyo unataka utafute wateja kwa janjajanja.Yes, njoo unitembelee ofisini kwangu uone kwa vitendo.
Karibu sana nicheki kwa no 0717700921Nitaitaka hii siku za usoni, maana hela za vifurushi kwa huyu mwanamke zitakuja kuniua.
Unlimited ni kutumia bando bila kikomo(na ni kweli unatumia bando bila kikomo) CAP ni ukomo wa madumizi ya speed kubwa kwahiyo ukifikia capacity limit mana yakebando bado linakuepo ila speed ndio inapungua sanaNini maana ya UNLIMITED, maelezo yako hayaonyeshi hivyo
Boss usifikiri unadeal na vilaza, iko hivi, Airtel na Vodacom hawajaweka CAP kwa kukurupuka kama matapeli wa Yas, wao walichofanya mf. unalipia kifurushi cha 30Mbps, wanacalculate ikiwa speed ya 30Mbps haitapungua, ndani ya 24 hrs inaweza kushusha GB nngapi, wanapata jibu labda ni gb 200, wanaset daily cap gb 250 then wanalimit speed isizidi 30Mbps. Wanachofanya YAS wanaweka CAP ndogo ukiifikia wanashusha speed. Mafala, Wezi kabisa. Njoo ofisini uone tunavyotumia 100-105 GB kila siku na hatupati changamoto yoyote Voda na Airtel.Hakuna router inayokosa CAP ndugu yangu labda kama unaongea kwaajili ya kulinda maslahi fulani ila mtu yeyote anaejua router kiundani anafaham kila router ina CAP yake. Basi tuambie wanakupa CAP gb ngapi ambayo inaweza kukufanya utumie GB 100 kila siku mwezi mzima. Na kama kweli inamaliza gb 100 kwanini utumie zote sasa airtel na voda sema tuu ukweli wewe ni agent wa mitandao hiyo unataka utafute wateja kwa janjajanja.
Sasa mkuu nikuulize hizo airtel ziko za aina 2? mana wapo wenzako kibao wanalalamika! naweka na ushahidi wa video. nieleweke sipo kwaajili ya kusema mtandao fulani ni mbaya ila ninachomaanisha ni kua kila aina ya router inaweza kumfaa mtu kulingana na matumizi yake na ukipitia concept ya CAP niliyoielezea hapo juu ukaelewa basi utajua ni router ipi ni sahihi kwako ila nitakubishia hadi mwisho ukiniambia et airtel au voda hawana capacity limit, nawakati watumiaji wengine wenzako wakitumia gb 500 zikiisha hata ziishe ndani ya siku 5, siku zinazobaki kwenye mwezi, mtandao unakua wa speed ndogo hadi 2mbps. Au wewe hiyo airtel unatumia pekeyako?Boss usifikiri unadeal na vilaza, iko hivi, Airtel na Vodacom hawajaweka CAP kwa kukurupuka kama matapeli wa Yas, wao walichofanya mf. unalipia kifurushi cha 30Mbps, wanacalculate ikiwa speed ya 30Mbps haitapungua, ndani ya 24 hrs inaweza kushusha GB nngapi, wanapata jibu labda ni gb 200, wanaset daily cap gb 250 then wanalimit speed isizidi 30Mbps. Wanachofanya YAS wanaweka CAP ndogo ukiifikia wanashusha speed. Mafala, Wezi kabisa. Njoo ofisini uone tunavyotumia 100-105 GB kila siku na hatupati changamoto yoyote Voda na Airtel.
Nyie Yas ni matapeli, kama kuna mtumiaji mkubwa hapa asithubuitu kutumia YAS, atumie TTCL kama miundombinu iko karibu au Airtel na Voda. YAS ni matapeli.
Nimekukaribisha ofisini kwangu uone mkuu, njoo siku 30 mfululizo uone tofauti ya nyie matapeli na Airtel au Voda. Njoo uone kila siku tunatumia 100 au zaidi na siku 30 kitu kipo stable.Sasa mkuu nikuulize hizo airtel ziko za aina 2? mana wapo wenzako kibao wanalalamika! naweka na ushahidi wa video. nieleweke sipo kwaajili ya kusema mtandao fulani ni mbaya ila ninachomaanisha ni kua kila aina ya router inaweza kumfaa mtu kulingana na matumizi yake na ukipitia concept ya CAP niliyoielezea hapo juu ukaelewa basi utajua ni router ipi ni sahihi kwako ila nitakubishia hadi mwisho ukiniambia et airtel au voda hawana capacity limit, nawakati watumiaji wengine wenzako wakitumia gb 500 zikiisha hata ziishe ndani ya siku 5, siku zinazobaki kwenye mwezi, mtandao unakua wa speed ndogo hadi 2mbps. Au wewe hiyo airtel unatumia pekeyako?
Uongee vitu ambavyo kweli vinafaa kupimika hivi kuna mtu kweli anaweza kuja kwako kila siku ndani ya mwezi mzima ili tu kupima kama unatumia gb 100, fact zako hazina mashiko toa kitu kwa fakt ambazo zinafikika na pia isiwe kwako tu iwe ni kitu ambacho tunaweza kukiona kwenye kila mtu anaetumia router za airtel, asa kama wapo wenzako wanalalamika kua airtel inasumbua alafu wewe unasema airtel zote hazisumbui huoni unaonekana kama huna fact? Mm ndio mana nikasema kila mtandao unaweza kua sahihi kulingana na matumizi ukilinganisha na aina ya CAP mtandao ulioiweka, unakuja kubisha vitu alafu kutetea hoja zako kwa fact unashindwa.Nimekukaribisha ofisini kwangu uone mkuu, njoo siku 30 mfululizo uone tofauti ya nyie matapeli na Airtel au Voda. Njoo uone kila siku tunatumia 100 au zaidi na siku 30 kitu kipo stable.
Utapeli wa Yas.Shida inakua ni nn
Umetapeliwa vip nduguUtapeli wa Yas.
Limitation kwenye Airtel na Voda ipo kwenye speed tu na inaendana na walichosema tofauti na nyie yani speed inadrop hadi 2mbps, huo ni utapeli.Unlimited ni kutumia bando bila kikomo(na ni kweli unatumia bando bila kikomo) CAP ni ukomo wa madumizi ya speed kubwa kwahiyo ukifikia capacity limit mana yakebando bado linakuepo ila speed ndio inapungua sana
Baada ya matumizi gani ndo speed imekua ikidrop ?Limitation kwenye Airtel na Voda ipo kwenye speed tu na inaendana na walichosema tofauti na nyie yani speed inadrop hadi 2mbps, huo ni utapeli.