Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

Kwahiyo tunakubaliana ipi sasa, ZANTEL AU TTCL?
Mkuu inategemea matumizi yako kwasiku yakoje na kwa mwezi yakoje ukinijibu hapo nitakuambia ipi utumie na ukitumia usipopata matokeo mazuri nidai hela yako
 
Unlimited ni kutumia bando bila kikomo(na ni kweli unatumia bando bila kikomo) CAP ni ukomo wa madumizi ya speed kubwa kwahiyo ukifikia capacity limit mana yakebando bado linakuepo ila speed ndio inapungua sana
Haya maelezo mtumiaji huwa anayapata wapi kabla ya kuSubcribe kwa huduma? Huwa anaambiwa?
 
Haya maelezo mtumiaji huwa anayapata wapi kabla ya kuSubcribe kwa huduma? Huwa anaambiwa?
Baadhi ya wauzaji wengi hawapo in deep sana kwenye kuwaelezea wateja hili pengine ni kwasababu wanakua ni watu wa marketing tu na wanataka wakuwin wewe mteja walipwe commission
 
Nicheki WhatsApp 0717700921 au lipia kwa utaratibu huu

Piga *150*01#
⚫️Chagua no 4
⚫️Chagua no2
⚫️Chagua no 6
⚫️Chagua no 2
⚫️Chagua no 1
⚫️Sehemu ya Kumbukumb namba, weka namba yako ya tigo kwa usahihi
⚫️Weka kiasi 30000
 
Ok
 
Nauliza,Ivi kun mahali naweza pata Universal ODU router.
Kuna jirani anahitaji hii kitu.
Ambayo inaweza tumia line yeyote.
 
Back
Top Bottom