ZOYA internet
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 202
- 407
- Thread starter
-
- #41
Mkuu inategemea matumizi yako kwasiku yakoje na kwa mwezi yakoje ukinijibu hapo nitakuambia ipi utumie na ukitumia usipopata matokeo mazuri nidai hela yakoKwahiyo tunakubaliana ipi sasa, ZANTEL AU TTCL?
Kadiria udadi ya gb unazoweza kutumia kwa siku na jumla kwa mwezi gb ngapKwahiyo tunakubaliana ipi sasa, ZANTEL AU TTCL?
Kudownload na ku upload ma file makubwa. Kwa tigo utatumia sikuchache sana. Voda na Airtel ni siku 30 bila tabu.Baada ya matumizi gani ndo speed imekua ikidrop ?
Haya maelezo mtumiaji huwa anayapata wapi kabla ya kuSubcribe kwa huduma? Huwa anaambiwa?Unlimited ni kutumia bando bila kikomo(na ni kweli unatumia bando bila kikomo) CAP ni ukomo wa madumizi ya speed kubwa kwahiyo ukifikia capacity limit mana yakebando bado linakuepo ila speed ndio inapungua sana
Baadhi ya wauzaji wengi hawapo in deep sana kwenye kuwaelezea wateja hili pengine ni kwasababu wanakua ni watu wa marketing tu na wanataka wakuwin wewe mteja walipwe commissionHaya maelezo mtumiaji huwa anayapata wapi kabla ya kuSubcribe kwa huduma? Huwa anaambiwa?
Unganishwa na bando la 30000 gb 35 linakutoshaMimi simalizi gb 1 nitumie ipi?
Ukielewa concept ya CAP niliyoizungumzia hakutakua na ubishani tutaenda sawaKudownload na ku upload ma file makubwa. Kwa tigo utatumia sikuchache sana. Voda na Airtel ni siku 30 bila tabu.
AsanteUnganishwa na bando la 30000 gb 35 linakutosha
Nicheki WhatsApp 0717700921 au lipia kwa utaratibu huuAsante
OkNicheki WhatsApp 0717700921 au lipia kwa utaratibu huu
Piga *150*01#
⚫️Chagua no 4
⚫️Chagua no2
⚫️Chagua no 6
⚫️Chagua no 2
⚫️Chagua no 1
⚫️Sehemu ya Kumbukumb namba, weka namba yako ya tigo kwa usahihi
⚫️Weka kiasi 30000
Ukikamilisha utanicheki
basi CAP yenu ni ndogo kuliko Voda na Airtel na huo ni wizi pumbavu zenu.Ukielewa concept ya CAP niliyoizungumzia hakutakua na ubishani tutaenda sawa
Wateja wanaotumia hiyo wakija ndio wanaweza ku confirm kama wana experiece changamoto au la!basi CAP yenu ni ndogo kuliko Voda na Airtel na huo ni wizi pumbavu zenu.
Zipo karibu sanaNauliza,Ivi kun mahali naweza pata Universal ODU router.
Kuna jirani anahitaji hii kitu.
Ambayo inaweza tumia line yeyote.
Sjakuelewa kiongozHiii ni pilipili wanabodi!