M Mgoda simtwange Senior Member Joined Sep 7, 2012 Posts 168 Reaction score 64 Sep 24, 2012 #1 Kuna faida gani kuendesha biashara au shughuli yoyote kikawaida (yaani bila kusajili kama kampuni) na kuisajili/kuiendesha biashara.shuguli yoyote kama kampuni? Tusaidiane jamani tujue mwelekeo wa maisha yetu hasa sisi vijana
Kuna faida gani kuendesha biashara au shughuli yoyote kikawaida (yaani bila kusajili kama kampuni) na kuisajili/kuiendesha biashara.shuguli yoyote kama kampuni? Tusaidiane jamani tujue mwelekeo wa maisha yetu hasa sisi vijana
B Buza Member Joined Aug 7, 2011 Posts 57 Reaction score 14 Sep 26, 2012 #2 Msaada jamani tuko wengi hatujui p/l