Mgoda simtwange
Senior Member
- Sep 7, 2012
- 168
- 64
Kuna faida gani kuendesha biashara au shughuli yoyote kikawaida (yaani bila kusajili kama kampuni) na kuisajili/kuiendesha biashara.shuguli yoyote kama kampuni? Tusaidiane jamani tujue mwelekeo wa maisha yetu hasa sisi vijana