Faida za kula fenesi ( jackfruit)

Faida za kula fenesi ( jackfruit)

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1540755794003.jpeg

Wengine hili tunda hawajawahi kuliona na wengine wanaopoga utomvu. Long way back hili tunda ndiyo lilitumika kama sweet bite pembeni ya uji wa nazi wenye chumvi kwa mbali.

Ile miezi kumi nane ya kufunga mikanda, sukari kwa mjumbe. Any way fenesi ni tunda zuri kwa afya yako.
 
View attachment 914481

Huku MINJINGU hayapatikani hayo matunda.
 
Nikila hilo nyamalake hata moja tu tumbo litaniuma vibaya sana, ajabu mti uko nyumbani siwez stahmili mate yanitoka nakula maumivu baadae na sjui kwa nn linasokota sana tumbo.
 
Back
Top Bottom