Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wengine hili tunda hawajawahi kuliona na wengine wanaopoga utomvu. Long way back hili tunda ndiyo lilitumika kama sweet bite pembeni ya uji wa nazi wenye chumvi kwa mbali.
Ile miezi kumi nane ya kufunga mikanda, sukari kwa mjumbe. Any way fenesi ni tunda zuri kwa afya yako.