Faida za kula kwa mkono

Faida za kula kwa mkono

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Unapotumia mikono kulia chakula, vidole vinatoa enzyme ambayo inasaidia ku activate digestion juice ndani ya tumbo. Unaponawa mikono kuna friendly bacteria ambao hubakia kwenye vidole, hawa ni muhimu kwa mdomo, shingo mpaka tumbo.

Jaribu kupunguza u magharibi na kula kwa kutumia mikono yako hasa ukiwa nyumbani.
 
Unapotumia mikono kulia chakula, vidole vinatia enzyme ambayo inasaidia ku activate digestion juice ndani ya tumbo. Unaponawa mikono kuna friendly bacteria ambao hubakia kwenye vidole, hawa ni muhimu kwa mdomo, shingo mpaka tumbo.

sahihi kabisa..
 
Nilimuona mtu anakula ugali na mlenda kwa uma na kisu.... Nilimshangaa mpaka naye akanishangaa
 
Hahaahha hapo jicho linatoka kwa uangalizi mkubwa sana
Watoto hamuachiwi sinia peke yenu lazima kuwe na kubwa wa kuhakikisha mmekula chakula kwanza. Wengine wakishapewa nyama wana nawa mikono.
 
Unapotumia mikono kulia chakula, vidole vinatia enzyme ambayo inasaidia ku activate digestion juice ndani ya tumbo. Unaponawa mikono kuna friendly bacteria ambao hubakia kwenye vidole, hawa ni muhimu kwa mdomo, shingo mpaka tumbo.

Jaribu kupunguza u magharibi na kula kwa kutumia mikono yako hasa ukiwa nyumbani.
Inategemea mkuu,hivi kama nakula makande inakuwaje?
 
Back
Top Bottom