Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Wana sayansi wamethibitisha pia. Na ile ya kula tende unapofungua mfungo wana sayansi pia wana seems ni vizuri kula kitu kitamu ili kuweka sawa kiwango cha sukari mwilini.Haya ni mafundisho ya mtume muhammad swallahu alyh wasalam toka karne nyingi sana.
Ni sunna kula kwa mkono.