sahihi kabisa..Unapotumia mikono kulia chakula, vidole vinatia enzyme ambayo inasaidia ku activate digestion juice ndani ya tumbo. Unaponawa mikono kuna friendly bacteria ambao hubakia kwenye vidole, hawa ni muhimu kwa mdomo, shingo mpaka tumbo.
Jaribu kupunguza u magharibi na kula kwa kutumia mikono yako hasa ukiwa nyumbani.
Nilimuona mtu anakula ugali na mlenda kwa uma na kisu.... Nilimshangaa mpaka naye akanishangaaUnapotumia mikono kulia chakula, vidole vinatia enzyme ambayo inasaidia ku activate digestion juice ndani ya tumbo. Unaponawa mikono kuna friendly bacteria ambao hubakia kwenye vidole, hawa ni muhimu kwa mdomo, shingo mpaka tumbo.
Jaribu kupunguza u magharibi na kula kwa kutumia mikono yako hasa ukiwa nyumbani.
Alikuwa anakata silesi ya ugali kwa kisu anachovya kwenye mlenda na uma kisha anataka Ule udenda wa mlenda kwa kisu... Ilikuwa burudani fulaniNimeelewa lakini ninacheka mlenda kwa uma.
Na nyama mnahakikisha wote mmepata
mkashangaana kwa hiyo!!! hahahahaNilimuona mtu anakula ugali na mlenda kwa uma na kisu.... Nilimshangaa mpaka naye akanishangaa
Inategemea mkuu,hivi kama nakula makande inakuwaje?Unapotumia mikono kulia chakula, vidole vinatia enzyme ambayo inasaidia ku activate digestion juice ndani ya tumbo. Unaponawa mikono kuna friendly bacteria ambao hubakia kwenye vidole, hawa ni muhimu kwa mdomo, shingo mpaka tumbo.
Jaribu kupunguza u magharibi na kula kwa kutumia mikono yako hasa ukiwa nyumbani.