Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
~~~~~~~BENEFITS OF EATING EGGS~~~~~~~~~~
1. Clean,healthy and convenient.
2. High in amino acids.
3. High in good fats.
4. Promote healthy hair and nails due to good fats and minerals.
5. Inexpensive.
6. Delicious.
7. Quick and easy to cook.
FAIDA YA MAYAI YA KUKU WA KIENYEJI:::
- Mayai hupunguza athari ya tatizo la moyo kwa kiwango kikubwa sana.
- Ni chanzo kizuri cha kupunguza protini iliyozidi mwilini.
- Husaidia kuupa mwili mafuta kiasi yanayohitajika mwilini.
- Huunguza na kupunguza kiwango cha mafuta yasiyohitajika mwilini.
- Huondoa sumu iliyojificha mwilini.
- Husaidia katika kuzifanya kucha na nywele kuwa ngumu.
- Husaidia katika kuifanya mishipa na damu kufanya kazi kwa uzuri kabisa.
- Mayai yanasaidia kutunza kumbukumbu.
- Mayai yanavirutubisho aina ya foleti (folate) ambayo imetengenezwa vidonge, navyo vinashauriwa kwa wajawazito kuvinywa ili kupata chembe hai za damu.
- Huleta kinga nzuri ya mwili ambayo hupunguza uwezekano wa kupata kansa kwa kiwango kikubwa.
- Ni chakula bora chenye virutubisho vingi na vyenye kulingana (balanced diet).
- Hufanya mfumo wa ubongo kufanya kazi vizuri.
- Huleta usawa katika homoni (hormones).
- Hulainisha misuli.
- Huupa mwili nguvu zaidi.
- Kwa wale wanywaji, mayai mabichi ni kiungo kizuri kuondoa hangover.
- Inapunguza, kama sio kuondoa ngozi iliyoungua
KWA WALE WENYE MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME KULENI KIINI CHA YAI LA KUKU WA KIENYEJI CHANGANYA NA KIJIKO 1 CHA
ASALI SAFI YA NYUKI KILA SIKU ASUBUHI KISHA NJOO UJE UNIPE FEEDBACK.