princebujonde
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 198
- 55
Somo zuri kaka Mzizi Mkavu....nimetoa uzi kuhusu kunywa maji ya limao asubuhi...utata ni kua je inafaa kuchanganya na asali? tusaidie mkuu wana jamvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somo zuri kaka Mzizi Mkavu....nimetoa uzi kuhusu kunywa maji ya limao asubuhi...utata ni kua je inafaa kuchanganya na asali? tusaidie mkuu wana jamvi
Namba 5.fanyia research ujiproove wrong ...point zingine safiiii sana
Mbona nimesha kujibu hakuna madhara kuchanganya Asali na limau na ikiwezekana weka pamoja na mji ya Uvuguvugu itakuwa bora zaidi kunywa pamoja.Somo zuri kaka Mzizi Mkavu....nimetoa uzi kuhusu kunywa maji ya limao asubuhi...utata ni kua je inafaa kuchanganya na asali? tusaidie mkuu wana jamvi


Nikichemsha tuu bila kula bichiKuchanganya kwa Asali na Yai la kuku wa kienyeji ni Dawa ya nguvu za kiume unachanganya kiini cha yai bichi pamoja na Asali safi mbichi ya nyuki ukiipata ukikosa japo Asali tu pia itasaidia. Unakula kila siku asaubuhi mara moja halfau fanya vitu vyako kwa shemeji yangu utaona maajabu.
unaweza kulichemsha sio mbaya.Nikichemsha tuu bila kula bichi
inafaa?
Habari mpya kabisa kuipata maishani mwangu.Wawaachia kuku watage na kuendelea kuzaliana. Mayai ya kuku hayaliwi aidha yawe ya kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa/kizungu
Kuchanganya kwa Asali na Yai la kuku wa kienyeji ni Dawa ya nguvu za kiume unachanganya kiini cha yai bichi pamoja na Asali safi mbichi ya nyuki ukiipata ukikosa japo Asali tu pia itasaidia. Unakula kila siku asaubuhi mara moja halfau fanya vitu vyako kwa shemeji yangu utaona maajabu.
Ndio unaweza kuchanganya yai zima na Asali ukakoroga na kula pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume kwa wale wenjye upungufu wa nguvu za kiume ila upate yai la kuku wa kienyeji sio mayai ya kizungu hayafai kuliwa.Je unaweza changanya yai zima na Asali haitakua tatizo kimatumizi? au lazima iwe kiini tu?
Ndio unaweza kuchanganya yai zima na Asali ukakoroga na kula pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume kwa wale wenjye upungufu wa nguvu za kiume ila upate yai la kuku wa kienyeji sio mayai ya kizungu hayafai kuliwa.