Faida za kula ndizi mbivu

Faida za kula ndizi mbivu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1540452763521.jpeg

Ndizi ni tunda lenye vitamin C, B6, Potassium na Manganese.

75% ya ndizi ni maji, hivyo usipokuwa na uhakika wa maji salama ulaji wa ndizi unaweza kuokoa maisha yako.

Ukila ndizi wakati unakunywa pombe au unapoamka baada ya pombe husaidia kuzuia na kutibu hangover.

Ndizi ina aina ya protein ambayo mwili unauwezo wa kuibadilisha na kuwa melatonin. Hukufanya u relax na kuwa mwenye furaha.

Ndizi zina nutrients na energy inayokufanya uweze kufanya mazoezi kwa dakika 90 sukari ya ndizi ni monosaccharide hutumika instantly.

Wanasayansi wamegundua wanawake wanaokula ndizi wakiwa wanatafuta mtoto wana nafasi kubwa ya kujifungua mtoto wa kiume.

Ndizi mbivu hupunguza athari za magonjwa ya moyo.

Mtu asikudanye kuwa ukila ndizi nyingi utaji overdose na Potassium. Overdose hutokea baada ya kula ndizi 480!
 
vp kwa wale baadh ya wanawake wanaotumia ndizi kama sex tools .?
 
Safi sana.
Pia kuna makala moja niliiona inasema DNA ya binadamu na ya ndizi zina-match kwa asilimia kubwa sana (zaidi ya asilimia 50, ila sikumbuki exactly ni ngapi). Halafu unaambiwa mbu huwa attracted zaidi (hufuata zaidi) na binadamu ambaye amekula ndizi mda si mrefu.
 
Ni kweli mkuu
 
View attachment 910170

Katika ubora wako mwaya.

Thank you sooo much for this my lovely ubarikiwe sana my dear. Love u sooo much yani.

Have a lovely day mwaya.

😘
 
🙏🏾
 
Kuna wanaume wapenda ndizi aisee sikupata kufahamu.
 
Safi sana.
Pia kuna makala moja niliiona inasema DNA ya binadamu na ya ndizi zina-match kwa asilimia kubwa sana (zaidi ya asilimia 50, ila sikumbuki exactly ni ngapi). Halafu unaambiwa mbu huwa attracted zaidi (hufuata zaidi) na binadamu ambaye amekula ndizi mda si mrefu.
Ni kweli mkuu, mosquitos are attracted to people who have recently eaten banana.
 
View attachment 910170

Ndizi ni tunda lenye vitamin C, B6, Potassium na Manganese.

75% ya ndizi ni maji, hivyo usipokuwa na uhakika wa maji salama ulaji wa ndizi unaweza kuokoa maisha yako.

Ukila ndizi wakati unakunywa pombe au unapoamka baada ya pombe husaidia kuzuia na kutibu hangover.

Ndizi ina aina ya protein ambayo mwili unauwezo wa kuibadilisha na kuwa melatonin. Hukufanya u relax na kuwa mwenye furaha.

Ndizi zina nutrients na energy inayokufanya uweze kufanya mazoezi kwa dakika 90 sukari ya ndizi ni monosaccharide hutumika instantly.

Wanasayansi wamegundua wanawake wanaokula ndizi wakiwa wanatafuta mtoto wana nafasi kubwa ya kujifungua mtoto wa kiume.

Ndizi mbivu hupunguza athari za magonjwa ya moyo.

Mtu asikudanye kuwa ukila ndizi nyingi utaji overdose na Potassium. Overdose hutokea baada ya kula ndizi 480!

Kwahiyo kula ndazi hata chana nzima kwa wakati mmoja huwezi pata madhara yoyote?
 
Back
Top Bottom